Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,234
Huwa vinaisha japo nlikuwa na hofu sana viliisha vyenyeweYeah hata wangu
Niliambiwa kwa kuwa uchungu ulichukuwa muda mrefu,lkn kiliisha kbl hajafikisha wiki mbili au chini ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app