Namna gani utaondoa chogo kwa mtoto mchanga?

Namna gani utaondoa chogo kwa mtoto mchanga?

Liache tu hilo chogo, wanakuwaga na akili sana za darasani.
 
Screenshot_2020-03-15-18-11-11-456_com.android.chrome.jpg
 
Liache tu hilo chogo, wanakuwaga na akili sana za darasani.

Ni kweli kwani nina mfano wa jamaa mmoja miaka ya 80 hivi alikuwa pale Ubungo flats jamaa alikuwa vizuri kichwani na kazi pia alikuwa nayo nzuri tu..alitukoga sana na chogo lake ila mademu wazuri wote walikuwa wake mtaani pale
 
Haya mambo ni kabila na kabila na mila zao, kule kwetu mototo akizaliwa na chogo, wanampima ukutani kila alfajiri.
Nimewai ona na inatokea sio kusimuliwa.
Kila asbh mama yake anamgusisha kisogo ukutani. Sio kwa kumgonga, ni polepole tu. Fanya daily utanambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabila gani hilo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buzi Maarufu, Wengine kinaisha chenyewe. Wengine wanatengeneza mto hlf ndani wanaweka mchanga laini,mtoto analazwa chali.

Wengine wanatengeneza kimto kinaingia kwa ndani kma kimtungi ili kichogo kizame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom