Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Sawa mkuuHello mkuu ukipata muda Ingia youtube uangalie... Kuna mada humu niliona wanasema kuna njia ya kumlaza chali ukiachana na hiyo kuna nyingine ya kumfunga kama kiremba kichwani kwa kutumia kanga laini au kitambaa laini....hii ya kutumia kiremba ni nzuri maana hiyo ya chali utamuweka kichwa cha pembe sio vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ametoka kuzaliwa na kadri anavyoendekea kukua mana mifupa ya kichwa inakuwa bado haijakaza.
Sasa zoezi lifanyike kwa muda gani?Kama ametoka kuzaliwa na kadri anavyoendekea kukua mana mifupa ya kichwa inakuwa bado haijakaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why utoe chogo la mtoto..si wanasemaga wenye machogo huwa maginiazi... mbona wataka muonea dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sahihi kumlaza chali mtoto mchanga. Anaweza akapaliwa na maziwa usingizini yakawa mambo mengine. Kumlaza kwa tumbo ni salama zaidi
Uko sawa kabisa . Ila sio maziwa labda mateSio sahihi kumlaza chali mtoto mchanga. Anaweza akapaliwa na maziwa usingizini yakawa mambo mengine. Kumlaza kwa tumbo ni salama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya haya sio Yale mengineMkuu iyo Avatar kweli wewe ni mtu wa maombi? au yale maombi mengine