Namna gani utaondoa chogo kwa mtoto mchanga?

Liache tu hilo chogo, wanakuwaga na akili sana za darasani.
 
Liache tu hilo chogo, wanakuwaga na akili sana za darasani.

Ni kweli kwani nina mfano wa jamaa mmoja miaka ya 80 hivi alikuwa pale Ubungo flats jamaa alikuwa vizuri kichwani na kazi pia alikuwa nayo nzuri tu..alitukoga sana na chogo lake ila mademu wazuri wote walikuwa wake mtaani pale
 
Kabila gani hilo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buzi Maarufu, Wengine kinaisha chenyewe. Wengine wanatengeneza mto hlf ndani wanaweka mchanga laini,mtoto analazwa chali.

Wengine wanatengeneza kimto kinaingia kwa ndani kma kimtungi ili kichogo kizame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…