Namna hii, je naweza pata mimba?

me binafsi nna tatzo kama lako cjui sabb n ipi af kikubwa naumwa 2mbo kuliko kawaida.
 
mhh!! nazidi kudata,

nifuate tar zipi sasa!

plz nisaidieni


habari suzy, nina imani umeuliza sio tu unataka kupata mimba bali unadadisi kujua kwa nini siku za hedhi haziko vile vile...inawezekana pia unaogopa kushika uzito ...nasema ivi kwa kuwa natambua kuwa ukitaka kupata unapata,tuseme kwa mwezi mzima ukifanya mapenzi kwa siku 8 kati ya 30 lazima upate. Mfano , ikifanya tar3 , then tar5 ,8,10 ,14,17,20,23,25,27 na 29 kama mume ni dume la mbengu/sio tasa lazma unase...

Ushauri:
Kama unahitaji kupata mtoto basi usiwe na tabia ya kuhama mikoa wakati unakaribia kuhitaji mtoto...mfano ukiwa dar ukaenda morogoro utarudi nyuma siku1, ukiwa arusha ukaenda mbeya/iringa apo utapoteza hedhi nzima kama mwili wako sio strong...apa namaanisha kama wewe hasa ni slim sio mnene sana, lazima mwezi upite...ukitoka kagera ukaenda dar, utaingia bleed mara mbili ndani ya mwezi mmoja.

Mtoa mchango sio daktari wala rafiki wa daktari, ni member mwenye experience kubwa ktk mambo ya hedhi ivyo hasiuliwzwe kisayansi. Najua mabinti watakuwa wameelewa zaidi kwa kuwa wameshakumbana na niliyoeleza!
 


Haya ni majibu sahihi kabisa!
 

nimekuelewa vema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…