Namna hii, je naweza pata mimba?

Namna hii, je naweza pata mimba?

me binafsi nna tatzo kama lako cjui sabb n ipi af kikubwa naumwa 2mbo kuliko kawaida.
 
mhh!! nazidi kudata,

nifuate tar zipi sasa!

plz nisaidieni

habari suzy, nina imani umeuliza sio tu unataka kupata mimba bali unadadisi kujua kwa nini siku za hedhi haziko vile vile...inawezekana pia unaogopa kushika uzito ...nasema ivi kwa kuwa natambua kuwa ukitaka kupata unapata,tuseme kwa mwezi mzima ukifanya mapenzi kwa siku 8 kati ya 30 lazima upate. Mfano , ikifanya tar3 , then tar5 ,8,10 ,14,17,20,23,25,27 na 29 kama mume ni dume la mbengu/sio tasa lazma unase...

Ushauri:
Kama unahitaji kupata mtoto basi usiwe na tabia ya kuhama mikoa wakati unakaribia kuhitaji mtoto...mfano ukiwa dar ukaenda morogoro utarudi nyuma siku1, ukiwa arusha ukaenda mbeya/iringa apo utapoteza hedhi nzima kama mwili wako sio strong...apa namaanisha kama wewe hasa ni slim sio mnene sana, lazima mwezi upite...ukitoka kagera ukaenda dar, utaingia bleed mara mbili ndani ya mwezi mmoja.

Mtoa mchango sio daktari wala rafiki wa daktari, ni member mwenye experience kubwa ktk mambo ya hedhi ivyo hasiuliwzwe kisayansi. Najua mabinti watakuwa wameelewa zaidi kwa kuwa wameshakumbana na niliyoeleza!
 
ok! ni tatizo dogo hili usiwe na presha. ni sawa kama alivyosema mmoja wa waliotangulia kuwa ovulation ni siku (around 14 days).
Jambo la kufanya ni kuwa weka uwezekano wa kupata mimba bila tatizo. Fanya hivi: hesabu siku 14 ukianzia na siku ya kwanza ya kupata hedhi (siku ya hedhi ya kwanza kuwa day 1) siku 3 kabla ya kufikia siku ya 14(yaani 11, 12, 13) uwezekano wa kupata mimba upo, siku ya 14 yenyewe, 3 baada ya siku ya 14 (yaani tarehe 15, 16, 17) uwezekano upo(siku hizi ni siku za kuhesabu kuanzia hedhi ya 1-14)
hii ni kwa sababu kuta za tumbo la mimba linakuwa liko katika hali kamilifu ya kupokea mbegu za kiume. so siku 3 kabla na baada ya hedhi ni hatari kama hautaki mimba.
zingatia: kuwa makini kuweka kumbukumbu za tarehe za mwezi uendapo hedhi.
Reference: Hatcher A. R etal (1998) The Essentials of Contraceptive Technology, Population Information Program, (WHO), Baltmore, USA pp14-1
Kwa mawasiliano zaidi tupia tena post ama contact: mwasoteemanuel@gmail.com

Hesabu siku kumi kuanzia siku ya kwanza ya kuingia kwa period, Kuanzia siku ya kumi na moja hadi kumi na saba ni siku waweza kupata mimba, na sana sana siku ya kumi na NNE ndio inakuwa na chances kubwa kuliko enzake.

Siku ya sita baada ya kuingia period hadi ya kumi ni siku salama kabisa. na siku ya kumi na nane hadi siku moja kabla ya kuingia tena period si siku salama kabisa.

Haya ni majibu sahihi kabisa!
 
habari suzy, nina imani umeuliza sio tu unataka kupata mimba bali unadadisi kujua kwa nini siku za hedhi haziko vile vile...inawezekana pia unaogopa kushika uzito ...nasema ivi kwa kuwa natambua kuwa ukitaka kupata unapata,tuseme kwa mwezi mzima ukifanya mapenzi kwa siku 8 kati ya 30 lazima upate. Mfano , ikifanya tar3 , then tar5 ,8,10 ,14,17,20,23,25,27 na 29 kama mume ni dume la mbengu/sio tasa lazma unase...

Ushauri:
Kama unahitaji kupata mtoto basi usiwe na tabia ya kuhama mikoa wakati unakaribia kuhitaji mtoto...mfano ukiwa dar ukaenda morogoro utarudi nyuma siku1, ukiwa arusha ukaenda mbeya/iringa apo utapoteza hedhi nzima kama mwili wako sio strong...apa namaanisha kama wewe hasa ni slim sio mnene sana, lazima mwezi upite...ukitoka kagera ukaenda dar, utaingia bleed mara mbili ndani ya mwezi mmoja.

Mtoa mchango sio daktari wala rafiki wa daktari, ni member mwenye experience kubwa ktk mambo ya hedhi ivyo hasiuliwzwe kisayansi. Najua mabinti watakuwa wameelewa zaidi kwa kuwa wameshakumbana na niliyoeleza!

nimekuelewa vema....
 
Back
Top Bottom