DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Hello JF hope you are doing well!
Twende kwenye mada.
Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya.
Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu na sehem kubwa ya neo lake hulitumia katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa cows, mbuzi kuku na mifugo wengine.
Ni mzee mcheshi tu huwa tukipata muda tunapiga stors mbili tatu kusindikiza muda.
Huyu mzee anashida ya UBISHI yani ni mbishi kiasi kwamba mpka ukamsikie kasema sawa nimekubaliana nawewe bas labda anaumwa siku hiyo hatak mbishane sana.
Siku moja kaja ambako huwa tunakutana mara nyingi huwa ni massa ya jioni tukitoka makazini.
Kaja katukuta tunapiga stors naye kajoin. Hii ilikuwa mwaka jana mwez wa12.
Alitukuta tunapiga stors kuhusu maswala ya asali, umuhimu wake na thamani yake.
Mzee kadakia akasema kwamba hilo wazo la asali alikuwa nalo toka kitambo sana. Akasema anampango wa kufuga nyuki kwenye mizinga ili ikibidi awe anavuna na kupata asali ya kutosha kwa ajili ya biashara.
Sisi tukamuliza unampango wa kuwafugia wapi? Akasema kwake anasehem kubwa sana na Ina miti ya miembe, michungwa, papai na parachichi kwahyo atatundika mizinga humo humo.
Tukamshauri kwamba si salama kufuga nyuki karibu na makazi kwani huwa wanacharuka wanaweka kuwadhuru ninyi pamoja na majirani zako.
Mzee akabisha akasema nyuki wa nyumbani huwa hana madhara mbaya ni wa porini. Mzee kabisha sisi tukamuacha aendelee na mpango wake.
Baada kama ya wiki mbili nikaona guta kwake linashusha mizinga, ilikuwa kama mizinga 7 - 8 hivi.
Kaigawanya kwenye miti ilokuepo kwenye eneo lake.
Huwa Kuna vitu wanaweka kuwavutia nyuki haukuisha mwez nyuki hao wamevamia mizinga.
Mzee kaanza kitamba kwamba soon anaanza kula matunda, tukawa tunamuitikia tu fresh fresh.
Mwaka huu mwez 3 tukaanza kunusa harufu ya asali, harufu ilikuwa inatokea kwenye mizinga ya yule mzee.
Mzee kaja kutamba kwamba tayari mambo yapo safi na kesho yake alipanga kwenda kukagua mizinga ili awaite watu kwa ajili ya upakuaji.
Sisi tukamwambja MZEE usithubutu kusogelea mzinga wa nyuki ilihali asali ndo kwanza imeiva haina siku nyingi nyuki huwa wanakuwa wakali sana.
Mzee kabisha, kesho yake mida ya saa10 jioni jua limepoa mzee kajitosa hata hajavaa protective clothes.
Kafika kaanza kuchokonoa mifuniko mimi nipo kwa mbali namzoom namwambia mzee unatafuta kifo haelewi.
WanaJF, hamuwez amini nyuki walivurumuka kutoka ndani ya mzinga wakamvaa mzee, mzee kapigwa kelele haikusaidia akaanguka chini nyuki wakamjalia juu mzee alifunikwa na nyuki.
Ikanibidi nichukuwe koti nikavaa, nkachuka matambala, maboks na nylon nkawasha moto mkubwa nikaenda na moto mkubwa nimeubeba kwenye chepe.
Nilivosogea na ule moto nyuki walianza kutawanyika japo namimi nilipigwa kiaina ila haikuwa to the extent nishindwe kutimiza lengo lakumuokoa yule mzee.
Tulimchukua tukiwa na mtoto wake mkubwa wakike na wajukuu zake wawili wakiume tukampeleka hosii hakukuwa mbali na kwake.
Mzee alipata fahamu baada ya siku moja na nusu.
Alipopata fahamu tu akaomba ma bwana nyuki na wataalamu wa nyuki waende hosii anashida nao.
Walipofika akawaambia kwamba waende nyumbani kwake kuna mizinga ya nyuki akawaelekeza na kuwaomba wahakikishe habaki chuki hata mmoja wauwawe wote na mizinga itolewe na ikiwezekana ichomwe mota Yani kifupi mzee alimaanisha akirudi home kutoka hosii asikute nyuki hata mmoja wala kipande cha ubao cha mzinga wa nyuki.
Alipopata nafuu na kuruhusiwa aliwakuta nyuki wanaishia kuondoka mzee alikaa ndani siku tatu hatoki nje mpka alipoambiwa nyuki wote wameondoka ndo akaanza kuwa huru kutembea huku na kule katika eneo lake.