Namna jiji la Dar lilivyo wabadili watu

Bado sisi Wanyamwezi, Wasukuma na Wanyantuzu...
 
Wagogo wenzangu wengi wanauza kahawa aiseee... huwa napishana nao mara nyingi wanakigonga cha kwetu. Ila fresh tu, division of labour.
Kuna mdau alinikatalia hapa,bora na wewe umelikubali mkuu.
 
hivi nyie wasambaa ndio majina yenu ya koo lazima yaanzie na she?
mfano shelukindo,shekibula nk?
nilikuwaga na demu msambaa,ilikuwa nikiingiza tu dick wazungu hawa,alikuwa ana ujoto kule kwa bibi kama kaingiza kaa la moto,i miss u fatuma she.....
Aiseeh! Itabidi nifanyie utafiti hili suala lako
 
Mimi binafsi kabla ya kwenda dar nilikuwa nabisha, ila asilimia kubwa ya niliokutana nao ni kweli japo sio kila muuza kahawa ni mgogo. Pia kwenye mabucha tupo tele.
Kuna kijiwe flan maeneo ya temeke walikuwa wanakutana wanaouza kahawa na wale waaouza karanga kuandaa bidhaa.

Wakati hawa wanaandaa kashata na kuchemsha kahawa wengine wanachemsha karanga,sasa sikilizia kilugha kinavyogongwa hapo ni hatari.

Kwa mara ya kwanza ndio niliona namna kashata zinavyoandaliwa.
 
Umesahau hapo kwa waha kuna kazi ingine wanaifanya mara baada ya kuuza urembo au vyombo ni kufungua maduka ya Vipodozi we ukifika kweny duka la Vipodozi huna haka ya kuulia 80% ni waha
 
8 - wachaga hawajabadilishwa wakiwa dar.. tokea moshi ni watafutaji. Dar wamekuja kuendeleza tu harakati za utafutaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…