Namna jiji la Dar lilivyo wabadili watu

Namna jiji la Dar lilivyo wabadili watu

Hapa jijini kuna watu wa makabila mengi ambayo ni wahamiaji ukiachana na wazaramo na wandengereko ambao kazi yao kubwa ni kucheza bao,ngoma,ukuli nk nk.

Sasa baada ya watu wa makabila mengine kuja Dar walilazimika kubuni njia za kuwaingizia kipato na shughuli walizozifanya zilitambulisha vyema kabila husika hivyo hii imewarahisishia ndugu zao kujua wakitimba Dar ni
kazi gani inawahusu.

1. Wagogo ~ kuuza kahawa
2. Wahehe/bena ~ kazi za ndani.
3. Warangi/nyaturu ~ baa maid
4.Wahaya ~ kuuza papuchi
5.Wamakonde ~ kuuza mitumba.
6.Wasambaa ~ ushog.a
7.Waha ~ kutembeza vyombo/urembo.
8.Wachaga ~ biashara ya duka.
9.Wafipa ~ vilinge vya uganga.
.
.
.
Bado sisi Wanyamwezi, Wasukuma na Wanyantuzu...
 
hivi nyie wasambaa ndio majina yenu ya koo lazima yaanzie na she?
mfano shelukindo,shekibula nk?
nilikuwaga na demu msambaa,ilikuwa nikiingiza tu dick wazungu hawa,alikuwa ana ujoto kule kwa bibi kama kaingiza kaa la moto,i miss u fatuma she.....
Aiseeh! Itabidi nifanyie utafiti hili suala lako
 
Mimi binafsi kabla ya kwenda dar nilikuwa nabisha, ila asilimia kubwa ya niliokutana nao ni kweli japo sio kila muuza kahawa ni mgogo. Pia kwenye mabucha tupo tele.
Kuna kijiwe flan maeneo ya temeke walikuwa wanakutana wanaouza kahawa na wale waaouza karanga kuandaa bidhaa.

Wakati hawa wanaandaa kashata na kuchemsha kahawa wengine wanachemsha karanga,sasa sikilizia kilugha kinavyogongwa hapo ni hatari.

Kwa mara ya kwanza ndio niliona namna kashata zinavyoandaliwa.
 
Hapa jijini kuna watu wa makabila mengi ambayo ni wahamiaji ukiachana na wazaramo na wandengereko ambao kazi yao kubwa ni kucheza bao,ngoma,ukuli nk nk.

Sasa baada ya watu wa makabila mengine kuja Dar walilazimika kubuni njia za kuwaingizia kipato na shughuli walizozifanya zilitambulisha vyema kabila husika hivyo hii imewarahisishia ndugu zao kujua wakitimba Dar ni
kazi gani inawahusu.

1. Wagogo ~ kuuza kahawa
2. Wahehe/bena ~ kazi za ndani.
3. Warangi/nyaturu ~ baa maid
4.Wahaya ~ kuuza papuchi
5.Wamakonde ~ kuuza mitumba.
6.Wasambaa ~ ushog.a
7.Waha ~ kutembeza vyombo/urembo.
8.Wachaga ~ biashara ya duka.
9.Wafipa ~ vilinge vya uganga.
.
.
.
Umesahau hapo kwa waha kuna kazi ingine wanaifanya mara baada ya kuuza urembo au vyombo ni kufungua maduka ya Vipodozi we ukifika kweny duka la Vipodozi huna haka ya kuulia 80% ni waha
 
Hapa jijini kuna watu wa makabila mengi ambayo ni wahamiaji ukiachana na wazaramo na wandengereko ambao kazi yao kubwa ni kucheza bao,ngoma,ukuli nk nk.

Sasa baada ya watu wa makabila mengine kuja Dar walilazimika kubuni njia za kuwaingizia kipato na shughuli walizozifanya zilitambulisha vyema kabila husika hivyo hii imewarahisishia ndugu zao kujua wakitimba Dar ni
kazi gani inawahusu.

1. Wagogo ~ kuuza kahawa
2. Wahehe/bena ~ kazi za ndani.
3. Warangi/nyaturu ~ baa maid
4.Wahaya ~ kuuza papuchi
5.Wamakonde ~ kuuza mitumba.
6.Wasambaa ~ ushog.a
7.Waha ~ kutembeza vyombo/urembo.
8.Wachaga ~ biashara ya duka.
9.Wafipa ~ vilinge vya uganga.
.
.
.
8 - wachaga hawajabadilishwa wakiwa dar.. tokea moshi ni watafutaji. Dar wamekuja kuendeleza tu harakati za utafutaji.
 
Back
Top Bottom