Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

Asante sana bibie! Sema huwa mnavitoa wapi vingi hivyo๐Ÿ˜Ž
nikinunua unga, au nikifanya manunuzi ya mahitaji yangu kwangu sasa mizigo mingi hua naona kero naifunga naiweka pamoja kwenye kiroba na viroba vyenyewe naviomba huko nakonunua hivo vitu kuna muda hua navinunua pia mfano nikinunua mchele bas lazima waniwekee kwenye kiroba mana sinunui kilo tano ni kum na kuendelea hata unga hua nanunua wa kg 25 nahakikisha tu nautunza vizur na haujakaa dukani sana
 
Kama unatumia kuwashia moto jiandae kuzaa watoto wasio na homoni zinazoeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaah wapi! Wewe ni professor wa chuo gani mkuu?

Unahabari kuna vitu vipo kama vipande vya mbao vinauzwa kabisa mahsusi kuwashia moto?

Sasa huyu swahiba wangu yeye ameona aokoe gharama kwa kutumia mifuko inayobakia nayo akishamaliza matumizi yake badala ya kwenda kununua hivyo vidubwasha, ni kosa?

Huo utahira kwa watoto unaletwa na madhara ya kuchoma hiyo mifuko au kwa vile anateketeza noti kwa moto?
 
nikinunua unga, au nikifanya manunuzi ya mahitaji yangu kwangu sasa mizigo mingi hua naona kero naifunga naiweka pamoja kwenye kiroba na viroba vyenyewe naviomba huko nakonunua hivo vitu kuna muda hua navinunua pia mfano nikinunua mchele bas lazima waniwekee kwenye kiroba mana sinunui kilo tano ni kum na kuendelea hata unga hua nanunua wa kg 25 nahakikisha tu nautunza vizur na haujakaa dukani sana

Duuuuh best wewe unga wote huu unautunzaje maana mimi 10Kg tu huwa zinaisha wakati unga umeanza kuwa mchungu mchungu! Naomba uniibie siri utunzaji wako.
 
nina ndoo maalum za kutunzia vitu kama hivyo nahakikisha ndoo hazina maji na hua nahakikisha nikifunga mfuniko nakaza tena unga ukikaa sana dukani ndio unakuta ubafanya wadudu unga wa ngano ukiweka ndoo ikiwa na maji hali ni hiyo hiyo maharage ukihifadhi usifunike ndoo mchele hakikisha tu ndoo ni kavu bas
 
Nashukuru Madam, hii na forward kwa โ€œmy wanguโ€.
 
hakikisha tu unga haujakaa sana dukani inategemea unaponunulia mimi hupendelea sana kununua unga mashine wa sembe wa ngano kuna mtu anaitwa shehoza ndio hupenda zaidi kununua vitu hapo kwake kama unga wa ngano na mafuta ya kula
 
Mimi huwaga nanunua mahindi na kisha kukoboa na kusaga, kwa ngano huwa nanunua 10Kg tu na huwa unaisha bila kuharibika ila sasa huu wa mahindi ndo huwa ni shida kidogo.
 
labda shida iko kwenye mahindi mimi hua nanunua unga ambao tayar ushapakiwa
 
Anayejua inakopatikana mifuko hii kwa wingi ,
images.jpg
 
Back
Top Bottom