Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

Mchele ndoo ikiwa kavu inatakiwa iwe inafungwa au ikae wazi nijulishe maana hapa nina kwangu kuna mchele.
 
Watu wote if wangekua na moyo kama wa huyu member aiseh ukosefu wa ajira ungeishaa

Big up sana Bro!
 
Mkuu habari ya asubuhi
Hii idea ya mifuko ya kuuza migodini nimeipokea kwa mikono yote,mara nyingi biashara kama hizi huwa zinadharauliwa ,ila zinawatoa watu
Sasa ninaomba msaada jinsi ya kuipata,kwa sababu nahitaji kuthubutu hii kitu
Connection ya kupata hii mifuko please
 
Kuna mangi nilikuwa namuuzia 100 kg 25 na 200 kg 50.na yeye anauza kwa wabeba mchanga au wateja mmoja mmoja wakija kununua, nayo Mingi Sana mkuu kutoka kwenye shughuli zangu za bakery .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Bakery yako iko wapi mkuu?
 
Maduka ya rejareja yanayouza unga, ngano, sukari.
Bekari,mama ntilie au hoteli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…