Namna msimamo wa EPL utakavyokuwa

Namna msimamo wa EPL utakavyokuwa

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Salaam..

Nimeona niandae kwa haraka haraka namna msimamo wa ligi utakavyokuwa kuelekea kumalizika kwa ligi siku ya jumapili, 26 July 2020.

Tukianza na timu 4 zitakazofuzu kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya (UEFA Champions League)

1. Liverpool (C)
2. Man City
3. Chelsea
4. Leicester

Wale wenzangu na mimi wa Futuhi (UEFA Europa League)

5. Man United
6. Spurs
-Arsenal (Kupitia tiketi ya FA Cup)

Na kule chini kabisha kwenye Relegation zone, kunabaki vile vile.

Namuona Aston Villa akibakia kwenye ligi.

17. Aston Villa
___________________
18. Watford
19. Bournemouth
20.Norwich

Mwisho nime-attach current league table na final fixtures za jumapili.[emoji116][emoji116][emoji116]

Weka maoni yako mdau.
_20200722_233607.JPG
Screenshot_2020-07-22-23-27-30.jpg
_20200722_233350.JPG
_20200722_233155.JPG
_20200722_233123.JPG
 
watford na Villa wanashuka wote watafungwa, buonermouth anabaki atamfunga everton
 
Back
Top Bottom