Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Jisomee mwenyewe.
1000279468.jpg
 
Dogo kama huyo kakua ana hasira na viongozi ndo akapewa urais naona kuna watu wanaweza kimbia nchi wakiwa wamevaa chupi kichwani 🤣🤣🤣maana atakamata wote majizi.
 
Huyo mwanafunzi akamatwe haraka iwezekanavyo, kwanini ameongea ukweli mtupu kiasi hicho?
 
Sidhani kama aliyeandika hapo ni mwanafunzi!na kama ni mwanafunzi basi ni thinker hasa
 
Back
Top Bottom