Namna nilivyoanza biashara kwa uoga mpaka kufikia hapa nilipo, nilichogundua biashara haihitaji elimu nyingi ya darasani

Hongera mkuu. Tatizo watu wengine wanadhani mpaka mtu uwe na 5 millions ndo ufungue biashara...

Sent using amfifiro

Na nimegundua mkuu biashara ya kuuza kila siku nazo zinalipa kidogo na unaweza kuona faida yake kwa muda mchahee.
 
Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine...
Hongera. Ila naomba nikuambia kuwa kama kuna mtu alishawahi kukuambia kuwa kufanya biashara ni lazima uwe na elimu nyingi ya darasani alikudanganya.

Hivyo kulingana na kichwa cha thread yako ni kuwa hujagundua kitu chochote ila umejua ukweli wa kitu ambacho ulikuwa umedanganywa. Biashara ya uchuuzi haihitaji elimu yoyote.

Ila kuna biashara ambazo zinahitaji elimu au sahihi zaidi, ukiwa na elimu unakuwa na advantage kubwa ya kupanua biashara yako. Juzi juzi nilikutana na mfanyabiashara mmoja aliyekuwa tajiri wa maduka makubwa Kariakoo siku za nyuma, nikasikitika sana.

Hali yake siyo nzuri na ukifananisha alivyoingia kwenye biashara siku nyingi alitakiwa awe kwenye level nzuri sana. Baada ya mazungumzo nikagundua kilichomwangusha na elimu yake kuwa ndogo, hivyo akawa ana-invest vibaya fedha zake. Nataka tu kukuambia kuwa kuna level inafika elimu inakuwa muhimu sana kwenye biashara.
 
Mkuu nilikuwa siwazi kabisa kuhusu biashara,ila baadae nikashtuka,na nashukuru nilioa mapema sana baada ya kupata kibarua tu kwa sababu sikuwa mtu wa totoz,nilikuwa domo zege hatari,nikaona solution kuoa,nashkuru nilioa mapema na kwa asilimia kubwa gharama zangu nilizitumia kumhonga mke wangu kuhakikisha sivuki steji ya kuhonga.

Nilipooa nilianza kushtuka kuwa kumbe mshahara hautoshi,nilianza kujua kuwa kumbe i have to do something out of my job.

Bila kuoa ningebweteka sana,ila nikamshirikisha wife kabisa,mpaka leo nachukua tishert mpaka 100 naweka mzigoni,japokuwa natarajia kutafuta kibanda changu mwwnywwe niachane na mshikaji.

Majuzi nilichukua tisheti 100 kila moja tsh 3500,jumla ni 350,000.

Nimeuza 70,50 kwa kila moja tsh 7000 = 350000.na 20 kila moja 8000 = 160,000.

Jumla hapo ni 350000+160000= 510000.
510000-350000 =160000.hiyo 160000 ni faida kabla ya mzigo kuisha.

Zimebaki pisi 30 ambazo nataka niuze kwa 5000 tu kwa maana nipate 150000 nikiongeza na ile 160000 inakuwa 310000.

Hapa faida inakuwa 310000 na pesa ya mzigo 350,000 imerudi.

Nawaza kuongeza mzigo uwe wa 500000 hivi.changamoto kubwa siwezi kuchukua mzigo mwingi kwa sababu sehemu ya kudowea kishkaji.natafuta location nzuri nihame niwe huru japokuwa jamaa hana noma.

Wakati huo kibarua changu bado naendelea nacho wakuu mana ndo kimenifikisha hapa pakuona kuwa mshahara is just for saving.
Siku ukiamisha location unaweza kujikuta huuzi hata t-shirt moja.....
what matters ni location nakushauri komaa hapo kwa mshkaji kwa sasa fungua tawi kwenye location nyingine....then uwe na maduka mawili...
vp huyo mshkaji wa kanzu zinatoka!!?
manake kama hazitoki ww tu ndio unauza t shirt jua mnaingia katika mgogoro sasa hv....
 
Sijaelewa sehemu moja biashara ya kuuza na kununua unauza mzigo wote hadi unaisha hapo ndo naposhangaa sijaona closing stock na opening stock kwenye biashara ya kuuza na kununua hivyo vitu haviepukiki hata siku moja maana sio wote watakaozipenda nguo zilizopo kwenye duka na kiasili mteja akiona kuna nguo chache kwenye kibanda au duka hua haingii wala haangalii
 
Mkuu naomba connection na huyo jamaa anaekuuzia hizo tishert kama upo dar.
 
Mkuu kanzu hazitoki kwa sababu ni za mtumba na sio Quality na mzigo bado hajaleta mpya,sijui akileta mpya ntaweka wapi tisheti zangu.

Huwa nampoza mkuu ila tatizo anaweza akaninyima nafasi alafu akaenda kuchukua yeye mzigo,kwa sababu mauzo anayaona yanavyokwenda.
 
Sijaelewa sehemu moja biashara ya kuuza na kununua unauza mzigo wote hadi unaisha hapo ndo naposhangaa sijaona closing stock na opening stock kwenye biashara ya kuuza na kununua hivyo vitu haviepukiki hata siku moja maana sio wote watakaozipenda nguo zilizopo kwenye duka na kiasili mteja akiona kuna nguo chache kwenye kibanda au duka hua haingii wala haangalii

Hii ndo nlbiashara ya darasani ambayo niliigusia huko juu mkuu,haifanyi kazi kwenye uhalisia wa maisha.

Mimi nachofanya zikinunuliwa tisheti 10 zikabaki nne,kesho sifungui mzigo natembeza kwa washkaji wangu ambao nipo nao kibaruani na zinatoka vizuri tu.

Jambo lingine ni kuwa hapa nilipo sasa tisheti ni bei kidogo kwa hiyo mimi nauza kwa bei ya kawaida ambayo mtu akija anaona hii fursa ya kipekee wanachukua kwa nyingi nyingi,kama kuna mzigo nakumbuka kuna jamaa alikuja akachukua tano kwa mpigo.

Na kusema kuwa eti mteja akiona nguo cchachr haingii hilo sio kweli kwa sababu hata mimi naingia sana sehemu hizo na naona kwenye goli pale watu wanauliza bei na unauza,kumbuka kuwa pale kuna kanzu pia sio kwwmba ikibaki tisherti moja unatundika hivyo hivyo.
 
Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine.

Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa sana kuanza kwa kuhofia kufeli aisee.

Nimekaa kama miaka mitatu hivi nawaza tu nina mshahara sina kitu kingine cha kuniingizia pesa,basi mpaka nikaoa iko hivyo,siku moja nikajitoa ufahamu tu nikasema acha niingie tu.

Nikaanza utafiti wa kujua bidhaa ninayoitaka kwa maeneo yangu inauzwaje,je ni kama yangu? Nipunguzaje ili niwavute wateja kwangu?

Baada ya kutafiti nikajua kuwa nataakiwa nipunguze bei kidogo ili niwavute,basi nikaanza.

Nakumbuka nikaenda ilala kuchukua tisheti za mtumba kwa mdau mmoja hivi kwa bei ya jumla ya tsh 3,000 tishert kali quality nilichukua kama 20 hivi ikawa kama jumla tsh 60,000.

Basi nikasafirisha mpaka sehemu nilipo,nikatafuta sehemu ya jamaa flani alikuwa anauza kanzu na vitu vingine,nikaongea nae nikaweka tshirt zangu 20. Jamaa akaniambia kwa kuwa ndo unaanza we angalia upepo then utaangalia unanipozaje kibanda hiki.nikamwambia ok.

Ile sehemu ilikuwa ni barabarani kwa pembeni kidogo,watu wanapita wanaona biashara, nikasema tishert watu wanavaa acha nijiripue tu.

Nilipoziweka zile tshirt siku ya kwanza niliuza 8 @ 7000 = 56000.

Siku ya pili nikauza 6 @ 7000 = 42000.

Siku ya tatu nikauza tena 6 @ 7000 = 42000.

Jumla kwa siku tatu nikapata 140000 ukitoa na pesa ya mtaji 60000 basi ikabaki 80000 nzima ni mtaji.nikasema aisee kumbe mambo yako hivi.

Nikaenda tena kuchukua mzigo pisi kama 30 hivi kwa uoga uoga @ tsh 3000 ambazo ikawa jumla 90000.

Kumbuka kuwa nilikuwa nachukua kwa mdau ambaye yeye ni mzoefu kwa hiyo nikawa nachaguliwa zile tsheti zenye ubora kidogo nikaona sio kesi tupate wote.

Safari hii niliuza mzigo huu kwa siku 7. Nikaounguza bei kidogo ili watenga wawe wengi na pesa izunguke sana kwa sababu kuwa na buku inayozunguka kwenye biashara kwa mwezi mmoja ikazalisha ni bora kuliko kuwa na alfu kumi mfukoni isiyozalisha.

Basi kwa siku saba nikauza mzigo wa pisi 30,pisi 10 @ kwa 6000 na pisi 20 @ 7000. Nikapata jumla 200,000.

Sasa hapo nikatoa na tsh 90,000 nikapata faida 110,000.

Hapo nikaanza kuwa sirias rasmi katika biashara,nikagundua kuwa biashara inataka utafiti na sehemu husika rafiki then mtegemee Mungu tu mambo yataenda.

Sitaki kuweka hesabu za nauli na chakula hapo na mavazi kwa sababu hayo yote nilikuwa nayafanya na nayapata kabla ya hii biashara kwa hiyo siwezi kutoa pesa ya kwenye biashara wakati hata kabla ya hii biashara pesa hiyo ilikuepo,sitaki kuitia mzigo biashara ikiwa bado ni changa.

Formuila yangu ni kuwa Biashara changa inakutegemea wewe,biashara iliyokomaa wwwe ndo unaitegemea.

Hii biashara ni changa kwa hiyo mimi ndo natakiwa niiiramishe kwa kuiwekeza zaidi,lakini sasa nikisema niitegemee hii biashara kuniimarisha mimi kwa wakati huu nitafeli.

Ikishakomaa sasa ntaanza kuagana rasmi na mshahara na kuuweka saving wote huku pesa yote ya malazi ikitoka kwenye biashara wakati huo imeshakomaa.

Biashara changa ni kama mtu anayeanza maisha,asibebeshwe majukumu mengi ataporomoka na kuishia patupu asione wapi anaelekea.

Kwa wale wanaoamini kuwa biashara ni lazima uwe umesoma sana masomo ya biashara darasani na ukaenda chuoni ukafuzu kwq ma GPA makubwa makubwa basi nawaambia tu kuwa wanachokisoma kilianza kufanywa kwanza kwa vitendo.

Kabla ya kuwepo masomo ya biashara basi vilianza vvitendo vya hiyo biashara yenyewe,watu walianza kufanya biashara mtaani wakaona hali zinavyokwenda wakaona elimu hiyo waihamishie kwenye makaratasi,so asili ya mambo ni vitendo hapo,makaratasi huja baadae kwa ajili ya kuhifadhi ujuzi usipotee.

Hata fani ya upasuaji ili uusome upasuaji lazima iwe kuna mtu aliufanya kwa vitendo kisha aliyoyaona ndo akayaandika sasa ili wengine wasiokuwepo na wengi wapate elimu.

Kwa hiyo kumbuka kuwa mafanikio katuka biashara ni kuifanya na sio kuisoma tu bila kuifanya,ubapozidi kufanya utasoma mengi zaidi kwa mujibu wa mazingira yalivyo.
Well done, nisipo kupa like nitakua mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera. Ila naomba nikuambia kuwa kama kuna mtu alishawahi kukuambia kuwa kufanya biashara ni lazima uwe na elimu nyingi ya darasani alikudanganya.

Hivyo kulingana na kichwa cha thread yako ni kuwa hujagundua kitu chochote ila umejua ukweli wa kitu ambacho ulikuwa umedanganywa. Biashara ya uchuuzi haihitaji elimu yoyote.

Ila kuna biashara ambazo zinahitaji elimu au sahihi zaidi, ukiwa na elimu unakuwa na advantage kubwa ya kupanua biashara yako. Juzi juzi nilikutana na mfanyabiashara mmoja aliyekuwa tajiri wa maduka makubwa Kariakoo siku za nyuma, nikasikitika sana.

Hali yake siyo nzuri na ukifananisha alivyoingia kwenye biashara siku nyingi alitakiwa awe kwenye level nzuri sana. Baada ya mazungumzo nikagundua kilichomwangusha na elimu yake kuwa ndogo, hivyo akawa ana-invest vibaya fedha zake. Nataka tu kukuambia kuwa kuna level inafika elimu inakuwa muhimu sana kwenye biashara.

Mkuu ni kweli kabisa unachokusudia kusema nimekuelewa na sikatai.

Ila hoja yangu ilikuwa kuwa kujua elimu hiyo sio lazima uende darasani kabisa ukasome na vyeti juu,unaweka kupata elimu hizo kupitia kuona watu wanafanya na wewe ukapata,na sio kupitia watu wanavyofundisha darasani.

Kujifunza kwa vitendo ndio jambo linalohitajika zaidi.
 
Mkuu nilikuwa siwazi kabisa kuhusu biashara,ila baadae nikashtuka,na nashukuru nilioa mapema sana baada ya kupata kibarua tu kwa sababu sikuwa mtu wa totoz,nilikuwa domo zege hatari,nikaona solution kuoa,nashkuru nilioa mapema na kwa asilimia kubwa gharama zangu nilizitumia kumhonga mke wangu kuhakikisha sivuki steji ya kuhonga.

Nilipooa nilianza kushtuka kuwa kumbe mshahara hautoshi,nilianza kujua kuwa kumbe i have to do something out of my job.

Bila kuoa ningebweteka sana,ila nikamshirikisha wife kabisa,mpaka leo nachukua tishert mpaka 100 naweka mzigoni,japokuwa natarajia kutafuta kibanda changu mwwnywwe niachane na mshikaji.

Majuzi nilichukua tisheti 100 kila moja tsh 3500,jumla ni 350,000.

Nimeuza 70,50 kwa kila moja tsh 7000 = 350000.na 20 kila moja 8000 = 160,000.

Jumla hapo ni 350000+160000= 510000.
510000-350000 =160000.hiyo 160000 ni faida kabla ya mzigo kuisha.

Zimebaki pisi 30 ambazo nataka niuze kwa 5000 tu kwa maana nipate 150000 nikiongeza na ile 160000 inakuwa 310000.

Hapa faida inakuwa 310000 na pesa ya mzigo 350,000 imerudi.

Nawaza kuongeza mzigo uwe wa 500000 hivi.changamoto kubwa siwezi kuchukua mzigo mwingi kwa sababu sehemu ya kudowea kishkaji.natafuta location nzuri nihame niwe huru japokuwa jamaa hana noma.

Wakati huo kibarua changu bado naendelea nacho wakuu mana ndo kimenifikisha hapa pakuona kuwa mshahara is just for saving.
Utakapoachana na uyo mshkaji ndipo apo utakapoanza kuiona dunia ni duara au mstatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine.

Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa sana kuanza kwa kuhofia kufeli aisee.

Nimekaa kama miaka mitatu hivi nawaza tu nina mshahara sina kitu kingine cha kuniingizia pesa,basi mpaka nikaoa iko hivyo,siku moja nikajitoa ufahamu tu nikasema acha niingie tu.

Nikaanza utafiti wa kujua bidhaa ninayoitaka kwa maeneo yangu inauzwaje,je ni kama yangu? Nipunguzaje ili niwavute wateja kwangu?

Baada ya kutafiti nikajua kuwa nataakiwa nipunguze bei kidogo ili niwavute,basi nikaanza.

Nakumbuka nikaenda ilala kuchukua tisheti za mtumba kwa mdau mmoja hivi kwa bei ya jumla ya tsh 3,000 tishert kali quality nilichukua kama 20 hivi ikawa kama jumla tsh 60,000.

Basi nikasafirisha mpaka sehemu nilipo,nikatafuta sehemu ya jamaa flani alikuwa anauza kanzu na vitu vingine,nikaongea nae nikaweka tshirt zangu 20. Jamaa akaniambia kwa kuwa ndo unaanza we angalia upepo then utaangalia unanipozaje kibanda hiki.nikamwambia ok.

Ile sehemu ilikuwa ni barabarani kwa pembeni kidogo,watu wanapita wanaona biashara, nikasema tishert watu wanavaa acha nijiripue tu.

Nilipoziweka zile tshirt siku ya kwanza niliuza 8 @ 7000 = 56000.

Siku ya pili nikauza 6 @ 7000 = 42000.

Siku ya tatu nikauza tena 6 @ 7000 = 42000.

Jumla kwa siku tatu nikapata 140000 ukitoa na pesa ya mtaji 60000 basi ikabaki 80000 nzima ni mtaji.nikasema aisee kumbe mambo yako hivi.

Nikaenda tena kuchukua mzigo pisi kama 30 hivi kwa uoga uoga @ tsh 3000 ambazo ikawa jumla 90000.

Kumbuka kuwa nilikuwa nachukua kwa mdau ambaye yeye ni mzoefu kwa hiyo nikawa nachaguliwa zile tsheti zenye ubora kidogo nikaona sio kesi tupate wote.

Safari hii niliuza mzigo huu kwa siku 7. Nikaounguza bei kidogo ili watenga wawe wengi na pesa izunguke sana kwa sababu kuwa na buku inayozunguka kwenye biashara kwa mwezi mmoja ikazalisha ni bora kuliko kuwa na alfu kumi mfukoni isiyozalisha.

Basi kwa siku saba nikauza mzigo wa pisi 30,pisi 10 @ kwa 6000 na pisi 20 @ 7000. Nikapata jumla 200,000.

Sasa hapo nikatoa na tsh 90,000 nikapata faida 110,000.

Hapo nikaanza kuwa sirias rasmi katika biashara,nikagundua kuwa biashara inataka utafiti na sehemu husika rafiki then mtegemee Mungu tu mambo yataenda.

Sitaki kuweka hesabu za nauli na chakula hapo na mavazi kwa sababu hayo yote nilikuwa nayafanya na nayapata kabla ya hii biashara kwa hiyo siwezi kutoa pesa ya kwenye biashara wakati hata kabla ya hii biashara pesa hiyo ilikuepo,sitaki kuitia mzigo biashara ikiwa bado ni changa.

Formuila yangu ni kuwa Biashara changa inakutegemea wewe,biashara iliyokomaa wwwe ndo unaitegemea.

Hii biashara ni changa kwa hiyo mimi ndo natakiwa niiiramishe kwa kuiwekeza zaidi,lakini sasa nikisema niitegemee hii biashara kuniimarisha mimi kwa wakati huu nitafeli.

Ikishakomaa sasa ntaanza kuagana rasmi na mshahara na kuuweka saving wote huku pesa yote ya malazi ikitoka kwenye biashara wakati huo imeshakomaa.

Biashara changa ni kama mtu anayeanza maisha,asibebeshwe majukumu mengi ataporomoka na kuishia patupu asione wapi anaelekea.

Kwa wale wanaoamini kuwa biashara ni lazima uwe umesoma sana masomo ya biashara darasani na ukaenda chuoni ukafuzu kwq ma GPA makubwa makubwa basi nawaambia tu kuwa wanachokisoma kilianza kufanywa kwanza kwa vitendo.

Kabla ya kuwepo masomo ya biashara basi vilianza vvitendo vya hiyo biashara yenyewe,watu walianza kufanya biashara mtaani wakaona hali zinavyokwenda wakaona elimu hiyo waihamishie kwenye makaratasi,so asili ya mambo ni vitendo hapo,makaratasi huja baadae kwa ajili ya kuhifadhi ujuzi usipotee.

Hata fani ya upasuaji ili uusome upasuaji lazima iwe kuna mtu aliufanya kwa vitendo kisha aliyoyaona ndo akayaandika sasa ili wengine wasiokuwepo na wengi wapate elimu.

Kwa hiyo kumbuka kuwa mafanikio katuka biashara ni kuifanya na sio kuisoma tu bila kuifanya,ubapozidi kufanya utasoma mengi zaidi kwa mujibu wa mazingira yalivyo.
Hongera, ila uwe macho na watu wa ulimwengu wa roho
 
Hiyo faida hujasema ubao umelipia sh ngapi, Muuzaji umemlipa shingapi mana unasema unafanya shughuli nyingine.
 
Mkuu naomba connection na huyo jamaa anaekuuzia hizo tishert kama upo dar.

Jamaa amekuja kutoa tu ushuhuda! Amejitahidi kutoa na location ya eneo la kuchukulia mzigo (Ilala)! Unataka akupe na connection tena ya huyo jamaa? Huoni uhitaji utakua mkubwa na hivyo kuongeza bei ya kununulia hizo t shirts!

Nenda Ilala mkuu ukafanye uchunguzi mwenyewe. Siyo vizuri kutafuniwa kila kitu. Hilo chimbo ni vyema likabakia kuwa siri kwa jamaa. Kwa mtazamo wangu lakini.
 
Siku ukiamisha location unaweza kujikuta huuzi hata t-shirt moja.....
what matters ni location nakushauri komaa hapo kwa mshkaji kwa sasa fungua tawi kwenye location nyingine....then uwe na maduka mawili...
vp huyo mshkaji wa kanzu zinatoka!!?
manake kama hazitoki ww tu ndio unauza t shirt jua mnaingia katika mgogoro sasa hv....
Hapo kwenye kuuza kanzu Sasa umenena maana isije ikawa vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa sehemu moja biashara ya kuuza na kununua unauza mzigo wote hadi unaisha hapo ndo naposhangaa sijaona closing stock na opening stock kwenye biashara ya kuuza na kununua hivyo vitu haviepukiki hata siku moja maana sio wote watakaozipenda nguo zilizopo kwenye duka na kiasili mteja akiona kuna nguo chache kwenye kibanda au duka hua haingii wala haangalii
[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo faida hujasema ubao umelipia sh ngapi, Muuzaji umemlipa shingapi mana unasema unafanya shughuli nyingine.
Mkuu mbona nimeweka wazi kuwa mshkaji ndo kanipisha tu kaupenyo bado hizo gharama.

Kuhusu kuuza nauza mwenyewe na kazi zangu zingine huanzia jioni sana mpaka naiti kali ,mzigo napiga asubuhi mchana jioni naepa.
 
Jamaa amekuja kutoa tu ushuhuda! Amejitahidi kutoa na location ya eneo la kuchukulia mzigo (Ilala)! Unataka akupe na connection tena ya huyo jamaa? Huoni uhitaji utakua mkubwa na hivyo kuongeza bei ya kununulia hizo t shirts!

Nenda Ilala mkuu ukafanye uchunguzi mwenyewe. Siyo vizuri kutafuniwa kila kitu. Hilo chimbo ni vyema likabakia kuwa siri kwa jamaa. Kwa mtazamo wangu lakini.

Si ndo hapo mkuu,pale ilala ukijenga urafiki na watu unaweza kupata mwanga,ila mtu anataka mpaka namba aisee
 
Mkuu nilikuwa siwazi kabisa kuhusu biashara,ila baadae nikashtuka,na nashukuru nilioa mapema sana baada ya kupata kibarua tu kwa sababu sikuwa mtu wa totoz,nilikuwa domo zege hatari,nikaona solution kuoa,nashkuru nilioa mapema na kwa asilimia kubwa gharama zangu nilizitumia kumhonga mke wangu kuhakikisha sivuki steji ya kuhonga.

Nilipooa nilianza kushtuka kuwa kumbe mshahara hautoshi,nilianza kujua kuwa kumbe i have to do something out of my job.

Bila kuoa ningebweteka sana,ila nikamshirikisha wife kabisa,mpaka leo nachukua tishert mpaka 100 naweka mzigoni,japokuwa natarajia kutafuta kibanda changu mwwnywwe niachane na mshikaji.

Majuzi nilichukua tisheti 100 kila moja tsh 3500,jumla ni 350,000.

Nimeuza 70,50 kwa kila moja tsh 7000 = 350000.na 20 kila moja 8000 = 160,000.

Jumla hapo ni 350000+160000= 510000.
510000-350000 =160000.hiyo 160000 ni faida kabla ya mzigo kuisha.

Zimebaki pisi 30 ambazo nataka niuze kwa 5000 tu kwa maana nipate 150000 nikiongeza na ile 160000 inakuwa 310000.

Hapa faida inakuwa 310000 na pesa ya mzigo 350,000 imerudi.

Nawaza kuongeza mzigo uwe wa 500000 hivi.changamoto kubwa siwezi kuchukua mzigo mwingi kwa sababu sehemu ya kudowea kishkaji.natafuta location nzuri nihame niwe huru japokuwa jamaa hana noma.

Wakati huo kibarua changu bado naendelea nacho wakuu mana ndo kimenifikisha hapa pakuona kuwa mshahara is just for saving.
Nani anayeuza hiyo biashara yako ilihali wewe uko kibaruani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom