Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
Hapo ulipo usihame bila kujua location unayoenda italipa,Kuna jamaangu alikuwa anauza nguo za ndani etc,kwenye upenu tu,anauza Sana,kakuza mtaji akaamua kukodi flame mtaa mwingine,kapiga tile flame,mlango wa kioo etc,
Sasa anauza Hadi nguo za wadada,,tatizo sasa anaweza kwenda kufungua asiuze hata cent mpaka jioni,,
Hiyo location imekukubali..
Sasa anauza Hadi nguo za wadada,,tatizo sasa anaweza kwenda kufungua asiuze hata cent mpaka jioni,,
Hiyo location imekukubali..