Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

Nimependa kotee, ila pete za elfu 20 hapana, ikipauka navaa nn ss, pete si lak 5 tu za watu wawili
 
Kufanya sherehe na kujumuika pamoja na ndugu jamaa sio jambo baya!
Unafanya sherehe simple ya kufurahi kwa amani na wadau sio lazima uifanye kama watu wengine au kwa ulimbukeni..
Ni muhimu kufanya sherehe hutengeneza furaha na kumbukumbu
 

Katika yote hayo, wewe utachangia asilimia ngapi ya gharama?
 
Mimi nilioa kwa gharama ya 643000/-,Bado nadaiwa 87000 mpaka leo nalipa kidogokidogo Harusi Ilifunga mtaa mzima,Watu walikula mpaka wakabeba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…