Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Katika harakati za masomo unakumbana changamoto nyingi sana. Nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza nilichukua course linguistics huku kiingereza changu cha kuungaunga kutoka St. Kayumba primary and secondary schools.

Tukapewa kazi ya ku-present (mawasilisho, assignment) mhadhiri mwenyewe mnoko kweli ana maswali kweli kweli.

Siku ya presentation, usiku wake siku lala kabisa nikikariri kazi nisiyoielewa yaani ngumu kweli. Ilikuwa ya phonology yaan umeze sauti zote za kifonolojia na namna zinavyozalishwa. Yaani kwanza nikiwaza kusimama mbele ya watu zaidi 1000 na maiki yako halafu una kiingereza fulani hivi pronunciation yake ya ajabu ajabu ama broken broken na pia cha kudownload aise ni hatari sana.

Kuingia kwenye uwanja wa tukio lenyewe niko na Dr. Michael. K mwandishi wa vitabu vingi vya sekondari hasa kiingereza. Nikaanza kutiririka masuala ya english sounds i.e Consonants na vowels nikaeleza eleza nilichokariri.

kumbuka hata kukariri na kusahau kupo hasa pale msamiati umepotea na ukashindwa ku-connect idea.

Na present huku mdomo umekauka fulan saut haiendi vizuri yaan sijielewi nikiangalia umati wa watu mkubwa kweli. Nilipo haribu ni pale nilipokosa msamiati wa kuunga idea nikaweka wa kiswahili, haloo umati ulicheka balaa. Kumbuka nimetumia maiki wote wanasikia hadi Dr. Akacheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ikafika mda wa maswali hapo kajasho kepesi kananitiririka kutoka usoni, miguu inatetemeka nimeishiwa nguvu kabisa. Maswali ni magumu sijui ni sababu ya uelewa wangu.

Unamaliza kujibu kwa kujingata unasikia how, why, nilifika sehemu nikakosa cha kusema kabisa huku naambiwa utapa sifuri aise niliwaza sana nikaona maisha sio lelema.

Nilianza kujifunza kiingireza kwa nguvu zote mara 𝐧𝐚𝐣𝐢𝐨𝐧𝐠𝐞𝐥𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐢𝐧𝐠𝐞𝐫𝐞𝐳𝐚, 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐯𝐢𝐝𝐞𝐨, 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐫𝐞𝐤𝐨𝐝𝐢 𝐧𝐚𝐣𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚. 𝐁𝐚𝐚𝐝𝐚𝐞 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐀𝐩𝐩 𝐟𝐮𝐥𝐚𝐧 𝐩𝐥𝐚𝐲𝐬𝐭𝐨𝐫𝐞 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐭𝐢𝐯𝐞 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐣𝐚𝐩𝐨𝐤𝐮𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐩𝐢𝐚 𝐚𝐩𝐩 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐢𝐧𝐚𝐢𝐭𝐰𝐚 𝐂𝐀𝐌𝐁𝐋𝐘 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐭𝐫𝐢𝐚𝐥 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐫𝐚𝐧𝐬𝐚 𝐦𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐢𝐢𝐧𝐠𝐞𝐫𝐞𝐳𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐯𝐚 𝐡𝐚𝐝𝐢 𝐬𝐚𝐢𝐯𝐢 𝐧𝐚𝐤𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚.

𝐍𝐢𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨𝐣𝐢𝐟𝐮𝐧𝐳𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐚𝐢𝐤𝐢𝐦𝐛𝐢𝐰𝐢 𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐬𝐮𝐥𝐮𝐡𝐢𝐬𝐡𝐨.

𝐍𝐀𝐎𝐌𝐁𝐀 𝐔𝐍𝐈𝐏𝐄 𝐍𝐉𝐈𝐀 𝐔𝐋𝐈𝐘𝐎𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐔𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐉𝐈𝐅𝐔𝐍𝐙𝐀 𝐋𝐔𝐆𝐇𝐀 𝐘𝐎𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐆𝐄𝐍𝐈
 
Mimi ni tofauti mkuu kwenye uwasilishaji kwa kutumia kiingereza. Kwenye uwasilishaji huwa najiamini na nawasilisha kwa ufasaha mkubwa, lakini kabla ya hapo nakuwa najiona si lolote si chochote! Nilisoma kayumba pia huenda ndio maana huwa najidharau kabla.
 
Niliipenda lugha, nikasoma maandiko ya kiingereza na kwakuwa napenda ngono nikaona nipige two in one, nikapendelea kusoma story za ngono za kiingereza

Nikatazama sana filamu za kizungu, na za kiswahili zenye subtitles ya kiingereza

Nikapata rafiki mzungu nikawa nakipiga nae, baadae nikapata rafiki wa asia akawa anajifunzia kwangu

Nikakesha sana na dictionary

Nimegundua kuwa lugha Siyo lugha tu, bali ni tamaduni
 
Siri moja kubwa ya presentation; usikremu unachoongea. Ongea kama unavyoongea ana kwa ana na watu. Usiweke macho yako sana kwenye screen. Angalia hadhira yako. Fanya kama unahadithia story flani. PowerPoint slides ni mwongozo tu usiongelee kila kitu ulicho andika kwenye ppt yako.
 
ni hatari mkuu
 
kuna vitu vingi unatakiwa uvijue kuhusu lugha ni pamoja na utamaduni wa watu aise
 
Mimi ni tofauti mkuu kwenye uwasilishaji kwa kutumia kiingereza. Kwenye uwasilishaji huwa najiamini na nawasilisha kwa ufasaha mkubwa, lakini kabla ya hapo nakuwa najiona si lolote si chochote! Nilisoma kayumba pia huenda ndio maana huwa najidharau kabla.
bora ww una fluency mkuu wengine fluency mkuu
 
Siri moja kubwa ya presentation; usikremu unachoongea. Ongea kama unavyoongea ana kwa ana na watu. Usiweke macho yako sana kwenye screen. Angalia hadhira yako. Fanya kama unahadithia story flani. PowerPoint slides ni mwongozo tu usiongelee kila kitu ulicho andika kwenye ppt yako.
Hii ni sawa iwapo unakijua unachoki-present, ila kama umekunywa desa mkuu usijaribu kutoka nje ya key kuna gharama kubwa sana.
 
You
Niliipenda lugha, nikasoma maandiko ya kiingereza na kwakuwa napenda ngono nikaona nipige two in one, nikapendelea kusoma story za ngono za kiingereza

Nikatazama sana filamu za kizungu, na za kiswahili zenye subtitles ya kiingereza

Nikapata rafiki mzungu nikawa nakipiga nae, baadae nikapata rafiki wa asia akawa anajifunzia kwangu

Nikakesha sana na dictionary

Nimegundua kuwa lugha Siyo lugha tu, bali ni tamaduni
You are very right. Kitu cha kwanza ni patience.
Siku za nyuma kulikuwa na radio nyingi za short wave, jioni unazisikiliza, **** bbc.
Kusoma vitabu vingi kunakupa misamiati mi gi.
Mimi nilikipenda kitabu cha The MALCOM X. Yani kuna presentation nyingi kafanya malcom, kuna interview, kuna interogation.
Nilivisoma vitabu vya james chase 20+, nikasoma manove mengi sana kutoka kwa family friend.
Nilisoma novel zaidi ya 100 Baadae nikakipata Kim il sung I na II yani mle ni presentation tu zilizotafsiriwa kwa kingereza. Baadae movie za kimarekani na ki Nigeria nazo tamthilia zikaja.
Nilikuwa ni member wa maktaba ya Roman church, kulikuwa na vitabu vingi sana.
Baadae you tube, hapa ndio kama yote nilijikita sana kwenye presentation za fani nayosomea na vlog .
Chuoni hakuna nafasi ya kujufunza speaking skill kwa sababu presentation unafanya dk 5 tu! Utamaster vipi laugha ya kingereza?
Jambo la mwisho ni kwamba hata ukiwa fluent speaker mzuri vipi kama hupata platform unasahau taratibu mwishowe unakuwa bubu. Nilichojifunza TZ English speaking skill haina nafasi hata mafiosini hivyo sio muhimu ki vile.
 
Back
Top Bottom