Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

[emoji16][emoji16][emoji16]kweli hiki cha inside your mind
Most Tanzanians speak good English inside their mind

But once they open their mouth to speak the language perishes...

They start saying
I'm, I'm, I'm, I'm the! the! the! theeee!!!!
 
I speak good English inside my mind but once I open my mouth to spoke I couldn't can [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ugonjwa wa wengi.
Ukiwa peke yako kinashuka sasa subiri uongee mbele za watu misamiati inagoma na kujiumauma kwa kwenda mbele
 
Andaa unacho present, Hakikisha unajua vizuri unacho present. Usiweke chochote usichokijua kwenye ppt. Fanya rehearsal kabla.
Kuna zile presentation Lecturer anataka kila mtu kwenye group lazima aongee shughululi inakuja kwenye kugombania parts za ile kazi mliyopewa mana kila mtu anataka ile rahisi anayoweza kuielezea ile part ngumu huwa inakosa mteja labda ajitose mmoja aipresent.
Hii mada imenikumbusha mbali sana.
Sasa Kuna mmoja yeye alikuwa anachukua ile kazi mliyofanya anamtaja yeyote kwenye group anamwambia elezea part hii sasa kama hukuelewa utajua hujui.Yaani kila mtu alikuwa anakomaa aelewe na ukijua kinachowekwa hukielewi unapambana kisiwekwe mana utakosa marks.
 
Kuna thread itafute ,kuna member mmoja humu alienda kwenye semina south Africa mara ghafla jina lake likatajwa mbele ya kadamnasi afungue kikao kwa sala kwa lugha ya kingereza.
Yule jamaa aliishia kusema EIMEN[emoji2]
niliisoma aise ni noma nilicheka hadi basi[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna zile presentation Lecturer anataka kila mtu kwenye group lazima aongee shughululi inakuja kwenye kugombania parts za ile kazi mliyopewa mana kila mtu anataka ile rahisi anayoweza kuielezea ile part ngumu huwa inakosa mteja labda ajitose mmoja aipresent.
Hii mada imenikumbusha mbali sana.
Sasa Kuna mmoja yeye alikuwa anachukua ile kazi mliyofanya anamtaja yeyote kwenye group anamwambia elezea part hii sasa kama hukuelewa utajua hujui.Yaani kila mtu alikuwa anakomaa aelewe na ukijua kinachowekwa hukielewi unapambana kisiwekwe mana utakosa marks.
Bora huyo mwingine anatoa module nzima mtafute majibu kila mtu atawasilisha vizuri ila kny maswali unaweza tajwa from no where answer the question hata kipengele ambacho huja kipresent hapo ndipo utajua hujui.
 
Huu ugonjwa wa wengi.
Ukiwa peke yako kinashuka sasa subiri uongee mbele za watu misamiati inagoma na kujiumauma kwa kwenda mbele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lugha si yetu hii...unazungumza unavoweza. Mambo yasiwe mengi sana.
ila kuna watu wanaflow aise walio toka seminar na english medium from nursery aise ni hatari ila wengi hawana content kichwan
 
Back
Top Bottom