Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

Dah muda huu ndo natoka venue kwenye presentation, halafu nakutana na huu uzi!
 
Lugha ya watu, mechi ya Yanga na Marumo mtangazaji anamhoji Profesa Nabbi mdomo una sema vingine ubongo unataka vingine, akaishia na congratulation.
 
Hii ni sawa iwapo unakijua unachoki-present, ila kama umekunywa desa mkuu usijaribu kutoka nje ya key kuna gharama kubwa sana.
𝐈𝐬𝐡𝐮 𝐧𝐠𝐮𝐦𝐮 𝐡𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐢
 
You

You are very right. Kitu cha kwanza ni patience.
Siku za nyuma kulikuwa na radio nyingi za short wave, jioni unazisikiliza, **** bbc.
Kusoma vitabu vingi kunakupa misamiati mi gi.
Mimi nilikipenda kitabu cha The MALCOM X. Yani kuna presentation nyingi kafanya malcom, kuna interview, kuna interogation.
Nilivisoma vitabu vya james chase 20+, nikasoma manove mengi sana kutoka kwa family friend.
Nilisoma novel zaidi ya 100 Baadae nikakipata Kim il sung I na II yani mle ni presentation tu zilizotafsiriwa kwa kingereza. Baadae movie za kimarekani na ki Nigeria nazo tamthilia zikaja.
Nilikuwa ni member wa maktaba ya Roman church, kulikuwa na vitabu vingi sana.
Baadae you tube, hapa ndio kama yote nilijikita sana kwenye presentation za fani nayosomea na vlog .
Chuoni hakuna nafasi ya kujufunza speaking skill kwa sababu presentation unafanya dk 5 tu! Utamaster vipi laugha ya kingereza?
Jambo la mwisho ni kwamba hata ukiwa fluent speaker mzuri vipi kama hupata platform unasahau taratibu mwishowe unakuwa bubu. Nilichojifunza TZ English speaking skill haina nafasi hata mafiosini hivyo sio muhimu ki vile.
𝐢𝐥𝐚 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐮𝐰𝐞 𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮
 
Andaa unacho present, Hakikisha unajua vizuri unacho present. Usiweke chochote usichokijua kwenye ppt. Fanya rehearsal kabla.
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐦𝐤𝐮𝐮
 
Aisee Mimi huwa sijiskii vibaya kabisa...nahisi Swaggs zangu za kuongea zina waburudisha.
Mimi hata nikikasirika baadhi wanacheka sasaaa dah!!
𝐈𝐥𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐚𝐭𝐞 𝐭𝐚𝐦𝐚𝐚
 
Lugha ya watu, mechi ya Yanga na Marumo mtangazaji anamhoji Profesa Nabbi mdomo una sema vingine ubongo unataka vingine, akaishia na congratulation.
𝐃𝐚𝐚 𝐰𝐚𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐬𝐤𝐢𝐥𝐥𝐬 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐧𝐞
 
Kuna thread itafute ,kuna member mmoja humu alienda kwenye semina south Africa mara ghafla jina lake likatajwa mbele ya kadamnasi afungue kikao kwa sala kwa lugha ya kingereza.
Yule jamaa aliishia kusema EIMEN😃
 
Back
Top Bottom