Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

Pamoja na makandokando yake mengine ya kibiashara ila jamaa yupo njema kichwani

1. Anaonekana kasoma shule bora na ni vigumu kuamini kuwa ni mnyamwezi wa hapo Igunga

2.Wakenya walitarajia mkutano ule wangeenda wale wa darasa la saba A wenye hela zao na wapo bungeni ambapo wangekuwa wanasema tuu yes yes

3.Jamaa kadhihirisha Utanzania ni spirit na sio mtu, tunaweza kuvurugana wenyewe ndani ila inapokuja suala la maslahi ya nchi miamba lazima iibuke

4. Kaongea jambo la kweli kabisa na ukiangalia lugha ya picha alikwazwa na labla alizarauliwa au aliombwa chochote kikubwa ndio maana kuna maneno aliya reserve kama mtu mwenye busara

5.Ni kweli mfumo wa kawaida wa maisha ya mkenya ni tofauti kabisa na mfumo wa kawaida wa maisha ya mtanzania. Wakati ni rahisi kwa mkenya kuhamia Tanzania na kujihisi more than home lakini ni Ngumu kabisa social, economically kwa mtanzania kuhamia kenya na ku feel home

6.Kwa mtanzania biashara inayowezekana ni Quid pro Quo (nipe nikupe) halafu mnaachana mpaka muda mwingine tena ila joint venture!!!!!!😀😀😀😀 maweee wagenda
 
Siyo rahisi na si heshima kumshambulia rais hasa ugenini. alitumia nafasi aliyoipata kufikisha ujumbe kwa busara.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Siyo rahisi na si heshima kumshambulia rais hasa ugenini. alitumia nafasi aliyoipata kufikisha ujumbe kwa busara.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Basi asingesema alimuona hadharani. Angesema tu kuwa amekuwa akijaribu kwa miaka kadhaa bila mafanikio. Baadae ndio angeongea nae na Samia faragha na kuwaambia ukweli wote.
Hakutumia busara.

Amandla...
 
Hakuna mhindi hata mmoja ana nia njema na mwafrica hata siku moja ni janja janja tu
M/Mungu ametujalia sisi watu weusi mambo yafatayo- ROHO MBAYA, WIVU NA UHASIDI
Kwahiyo ndugu yangu kuwa POSITIVE katika maisha na achana na mambo ya NEGATIVITY hayana afya katika maisha utafika mbali ktk maisha.
 
Kwani mkuu nipo karibu sasahivi? Rostam alikuwa mbunge wa Igunga 20 years kaacha nyumba za tembe tupu hakuna shule ya advance hata moja, MO 10years Singida kaawachia nyumba za tembe hana hata nyumba ya kuishi pale alafu ni mbunge wao wa Dar.
 
Si lazima kila jambo ulikimbi!ie...usiwe ujuvi wa Kila jambo, kimya nayo ni busara
 
Jaribuni kuelewa, Rostam anadai walikutana na Mhe. Rais means ilikuwa faragha. Walipeana ahadi ambazo yeye alitaka kuwekeza Kenya kwenye eneo la gas lakini hakupewa hiyo nafasi for years.
Katika busara ndogo alitaka kuwaeleza Wakenya na Watanzania kwamba maelekezo ya Mhe. Rais ayatekelezeki. Lakini pia kwa upande mwingine anataka kufungua macho kwamba hata maelekezo aliyotoa au ahadi alizotoa wakiwa na Mhe,Rais Samia si zakuaminika sana

Hapa ndipo ilipo hoja yangu na hoja ya Wakenya.
 
Eti lilisomwa na Spika Ndungai!Yule Ndugai ni chizi ona alivypora wanawake 19 wa Chadema na kuwafanya wabunge kwa nguvu zake je huoni kuwa Ndugai ni Mpumbavu?
 
Kwani mkuu nipo karibu sasahivi? Rostam alikuwa mbunge wa Igunga 20 years kaacha nyumba za tembe tupu hakuna shule ya advance hata moja, MO 10years Singida kaawachia nyumba za tembe hana hata nyumba ya kuishi pale alafu ni mbunge wao wa Dar.
Wabunge huwa wanajengea watu nyumba🙄🙄.
Kazi zao kama wabunge walitimiza?
 
Taga bado tu huamini kuwa hii ni serikali awamu ya sita?
 
Kama ameshambuliwa na Wakenya Basi Rostam amesema ukweli...na wewe bill Shaka mume wako ni nyang'au...pole Sana kwa kuolewa na likenya...
 
Hapa ni pale wanasiasa wanapojaribu kuwa wafanyabiashara. Mengi aliyosema watu hawatamwelewa lakini wafanyabiashara wanamwelewa vizuri sana
 
Wee ni chizi uliye toroka Mirembe Mental Hospital!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…