Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.

Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
Ufisadi wa Magufuli huu hapa kenge wewe
tapatalk_1617940063003.jpeg
 
Hata ulie vipi mfu shetani mtu Magufuli hawezi kufufuka tafuta wengine wa kuwalamba nyayo!
 
Unapingana na tycoon mtu ambaye ni mzoefu master kwenye ma deal na mabiashara ya kimataifa
Alafu mtu anayebishana au kupingana naye hajawahi hata kupeleka punje ya mahindi
Kenya

Ova
 
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.

Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu utawala wa Tanzania, amepataje courage yakukosoa mfumo wa Kenya?

Je, alitegemea wafanyakazi waliomkwamisha wachukuliwe hatua? Alitaka mfumo wa Kenya umkumbatie na kumdekeza Kama anavyofanuiwa na mfumo wa Tanzania? Kwanini ajisemee yeye badala yakusemea wafanyabiashara wote?

Next time inabidi wafanyabiashara wachague maneno yakusema wanapoambatana na Rais, lazima hoja zao zikaguliwe.

Acha dharau hela ya rostam ukipewa wewe utakula na vizazi vyako 30 bila kuisha.

Kwa siku ukiwa unatumia elfu 50 kwa umri wa kuishi mwanadamu bila kukopa miaka 70 utatumia 1.2B ,sasa Rostam ana utajiri wa mabilioni ya Tsh.....Acha dharau.
 
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.

Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu utawala wa Tanzania, amepataje courage yakukosoa mfumo wa Kenya?

Je, alitegemea wafanyakazi waliomkwamisha wachukuliwe hatua? Alitaka mfumo wa Kenya umkumbatie na kumdekeza Kama anavyofanuiwa na mfumo wa Tanzania? Kwanini ajisemee yeye badala yakusemea wafanyabiashara wote?

Next time inabidi wafanyabiashara wachague maneno yakusema wanapoambatana na Rais, lazima hoja zao zikaguliwe.
Poverty mentality inakusumbua
 
How do you define the term Freedom of Expression?
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.

Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
Hamtompiga risasi nyingi nyingi tena?
 
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.

Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu utawala wa Tanzania, amepataje courage yakukosoa mfumo wa Kenya?

Je, alitegemea wafanyakazi waliomkwamisha wachukuliwe hatua? Alitaka mfumo wa Kenya umkumbatie na kumdekeza Kama anavyofanuiwa na mfumo wa Tanzania? Kwanini ajisemee yeye badala yakusemea wafanyabiashara wote?

Next time inabidi wafanyabiashara wachague maneno yakusema wanapoambatana na Rais, lazima hoja zao zikaguliwe.
Siku hizi umepatwa na nini ndugu? Mwenzake ameondoka na ufahamu wako? Pole yako.
 
Kesho tunalalamika wakenya wanatupiga bao, tumia akili yuko vizuri
"Kesho tulalamike wakenya wanatupiga bao",? Si hilo hapo tayari wamepiga bao?

Kila mara tunaambiwa Kenya hawana vikwazo na wawekezaji, wanapenda ushindani...; sasa huo ndio ushindani? Kama hayo aliyofanyiwa Rostam si kupiga bao tukuite kitugani!
 
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.

Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu utawala wa Tanzania, amepataje courage yakukosoa mfumo wa Kenya?

Je, alitegemea wafanyakazi waliomkwamisha wachukuliwe hatua? Alitaka mfumo wa Kenya umkumbatie na kumdekeza Kama anavyofanuiwa na mfumo wa Tanzania? Kwanini ajisemee yeye badala yakusemea wafanyabiashara wote?

Next time inabidi wafanyabiashara wachague maneno yakusema wanapoambatana na Rais, lazima hoja zao zikaguliwe.
Alichoongea rostam ndio ukweli wenyewe tz na kenya ni kama china na marekani kuna mmoja anataka kumfanya mwenzie soko na mwingi mzalishaji wa low material
 
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi.

Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu utawala wa Tanzania, amepataje courage yakukosoa mfumo wa Kenya?

Je, alitegemea wafanyakazi waliomkwamisha wachukuliwe hatua? Alitaka mfumo wa Kenya umkumbatie na kumdekeza Kama anavyofanuiwa na mfumo wa Tanzania? Kwanini ajisemee yeye badala yakusemea wafanyabiashara wote?

Next time inabidi wafanyabiashara wachague maneno yakusema wanapoambatana na Rais, lazima hoja zao zikaguliwe.
Tatizo lako mtoa mada, unamfundisha tajiri namna na njia ya kutengeneza pesa wakati wewe mfukoni huna kitu.
Kukusikia tu bahati yako!

Hii anatokea Tanzania tu, masikini kumshauri tajir!
 
Imefikia wakati Tanesco ibinafsishwe na turuhusu Makampuni Binafsi nayo yaanze kutoa huduma za Umeme

Kama tulivyokuwa tunateseka enzi za TTCL baada ya kuja makampuni mengi tukapumua.
 
Back
Top Bottom