Huyu tajiri msiyependa ashauriwe alikimbia nchi Hadi pale ndugu yake alipokamatwa na silaha za uwindaji, alipowekwa ndani ndipo akarejea nchini. Hii ni aina ya wafanyabiashara tunaosema wanapaswa kuogopwa au kutegemewa.
Aliporudi akapewa Taifa gas, then akaenda morogoro akazindua kiwanda chakukoboa mahindi, akauza hisa Vodacom nk
Mfanyabiashara wa aina hii hawezi kuheshimika kwenye soko lenye matycoon kibao Kama Kenya . Kama anavyoziba nafasi za wabongo kupanuka kwakutumia mwamvuli wa siasa ndivyo na wafanyabiashara wa Kenya wanavyotumia mfumo wao kummnya asipenye kwenye soko.
Kwanini alikwenda kuomba relief kwa president asicompete? Mfanyabiashara serious lazima akubali kucompete na si kutegemea hisani