MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 167
mimi kama mtanzania wanyarwanda nawaona kama watanzania wenzangu tu hasa ukizingatia mkulu anawazimia kishenzi naona tu kama rwanda ni sehemu ya iliyokuwa Tanganyika tukufu!
upo utofauti mimi Kama Mkenya ambaye anapakana na Na tanzania kuna jamii yangu watz mkoa wa wa Mara na ni kabila moja na kiswahili chetu na tz Kama wakuria hakina tofauti kubwa-refer Senator Machage- ila ninapo watembelea huko kwao sijui kwa nini wao huniona tafauti kabisa hata kijijini mtu akiskia wwe ni mkenya anataka ajitambulishe nawewe kama ni hadhi fulani na wanapo kuja huku pia sisi huwachukulia ki kawaida ila huzimia jinsi wanaongea kiswahili ustaarabu ndio maana utapata wakenya wengi huenda kujistarehesha isibania upande wa tz.wana mabinti wazuri pia na hulka za "naomba kukuhudumia" waenya huhusudu maana huku hio haipoMbona lalamishi zote ni dhidi ya wakenya? Hivi ukenya au wakenya ni tishio ? Vipi majirani wa karibu(waliopkana karibu) kv watu wa taveta/holili au watu wa busia ya KE/UG ? Au wasomali wa KE/SO? Kwa hawa vikundi vya majirani wa karibu, wanajiona tofauti licha ya utaifa wao? Jibu tafadhali, nitaendelea.
Nimesikia hili kutoka wakurya na wajaluo ambao wanapatikana nchi zote mbili. Naona kwa jibu lako kuwa ukenya wako unazua hisia hata miongoni wa majamaa zako wa karibu.upo utofauti mimi Kama Mkenya ambaye anapakana na Na tanzania kuna jamii yangu watz mkoa wa wa Mara na ni kabila moja na kiswahili chetu na tz Kama wakuria hakina tofauti kubwa-refer Senator Machage- ila ninapo watembelea huko kwao sijui kwa nini wao huniona tafauti kabisa hata kijijini mtu akiskia wwe ni mkenya anataka ajitambulishe nawewe kama ni hadhi fulani na wanapo kuja huku pia sisi huwachukulia ki kawaida ila huzimia jinsi wanaongea kiswahili ustaarabu ndio maana utapata wakenya wengi huenda kujistarehesha isibania upande wa tz.wana mabinti wazuri pia na hulka za "naomba kukuhudumia" waenya huhusudu maana huku hio haipo
Kwani uongo? Sisi ndio tunamatter hapa EA. Tukienda chafya, nyote mnapata homa.wakenya always hujiona ni jamii bora kuliko wengine kumbe ni wa hovyo sana...
It's very true. Watz hufanya mambo yao kitaratibu cha kukera. Mko lazy mno.wakenya wengi huona watanzania we ni wavivu
Mimi kama mtz,hayo uliosema ni kweli kabisa,maana mm nmekulia huko Kenya na kusomea huko,pia, wakenya wana tabia ya kufungua biashara asubuhi sana,japo sijui na maofisini kama ni hivyo pia.Chuki za kipumba kando,ntatoa maoni yangu kama Mkenya,ni maoni tu kumbuka,tafadhali!Nina rafiki wengi watz,tulosoma nao.Cha kushangaza ni kuwa wanavowaona watz,wakenya yaani,ambao hawajamjua mtz yeyote moja kwa moja na mtazamo wangu mimi niliyesoma nao,tofauti hamna!Watz wanajulikana na wakenya kwa ustaarabu wao,heshima pia na kiswahili chao wanakipenda sana wakenya wa bara.Wakenya hawana issue na watz.Hata hivyo kama walivyo wakenya,sanasana kwenye biashara.Kila kitu kinafanywa kwa haraka na bila ukarimu wowote.Kwahivyo wakenya wengi huona watz kama wavivu na wasopenda kujituma.Mwanabiashara wa Kenya hata ukiagiza kitu kutoka kwake na maneno makali kama 'nipe kilo moja ya sukari' au hata 'leta mkate haraka!'haitakuwa ishu kwake.Kwake itakuwa kama lugha ya biashara tu!Hivo hivo kama mtz ukisema 'naomba bia mbili',huku Kenya na pesa ni zako!Wakenya vichwani mwao watakuwa wanajiuliza huyu ni zuzu nini?Waganda huku Kenya hawakubaliwi kabisa kujitambulisha kama wageni.Kwa wakenya wengi,mganda ni kama mkenya anayeishi nchi nyingine!Wanyarwanda itakuwa ngumu kwa mkenya kumwelewa vizuri kwani hatupakani nao.Wakenya wengi kuwaona wanyarwanda kama wenye ufahamu mwingi sana kwenye taaluma zao na kielimu pia.Warundi hatujui kabisa kama wakenya!
Hayo ndo maneno,hakuna Uganda wala ukenya hapa..hebu tujaribu kufuata tabia za waasisi was mataifa haya mawili