Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Kenyans are people with free spirit. We are very warm to E.A we welcome them without fear and mingle easly with foreigners. We love Museveni how he ashames the western countries and also enjoy how Magu fights corruption and controls public expenditure, We respect Kagame for transforming Rwanda. We know Congo better than Burundi. The heart of East Africa is Nairobi while the dream destination for east africans is Zanzibar.
Yeah, Zanzibar is special. Karibuni sana.
 
there u go again out of topic sijaona mtu ameleta swali la calclus linear programing ama binomial expansion to mention but afew nenda unywe maziwa na usisahau kutia ndani chumvi itasaidia
That's algebra. Wewe na hisabati ni adui
 
Kenya nidhamu ya biashara ipo juu. Always wanamaliza transaction na humble Ahsante.
 
1471685373980.jpg
 
Maana ukitaka kumfrahisha mtz wewe ongea kisw tu kingereza weka pembeni.....most of us we're not fluent to English and it's simply because we started learning it late at secondary school so coping will definetly takes time ,but we are trying so that we can communicate. ...
Asilimia zaidi ya 90 mawasiliano mitaani Kenya ni kiswahili, hii dhana ya wakenya ni kingereza tu potofu.
 
Uzoefu wangu kama Mtanzania anayeishi ughaibuni. Watanzania na Wakenya wapo karibu sana, Waganda wamejitenga (nadhani sababu ya Kiswahili). Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya. Karamu ya Watanzania utakuta Wakenya wengi na karamu ya Wakenya utakuta Watanzania wengi.Wanyarwanda wanaojua Kiswahili wapo karibu zaidi na Wakenya na Watanzania.
Kuhusu uchapakazi, sote ni wachapakazi kwa kuwa tupo nje ya nyumbani na hakuna mjomba wa kukusaidia. Kuhusu hili la uchapakazi, wageni popote duniani huwa wachapakazi kuliko wenyeji kutokana na 'do or die factor'.
Tabia zingine kama kufuatiliana sana, unafiki wa hapa na pale na umbea hizi zipo kwa jamii zote nilizokutana nazo, kuanzia Waafrika, Wazungu na Waasia.
Wasichana/ wanawake wa Kenya wanapenda Wabongo sababu ya ukarimu wetu (nadhani na udadisi wa kawaida wa binadamu).
Warundi siwajui vizuri kutokana na kutokuwa na mwingiliano sana na wao.
 
Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya

seriously acha uongo, hapo umeng'oa kabisa, ata siezi anza kujibu apo, just not true at all
 
Ndio ukweli huo, asilimia kubwa ndio hivyo. Makabila madogo kama Wakisii na Wakamba ndio hujichanganya kote. Kwa Wakikuyu, Wakalenjini na Wajaluo mnachukiana na kutengana hata mkiwa ng'ambo, hayo ndio ninayoyaona mimi.
 
Kusema ukweli na kuacha unafiki pembeni sisi Watanzania ni wavivu sana.....hatupendi kujituma tunataka mafanikio ya haraka haraka sana......tunapenda mambo mazuri ambayo hatutaki kuyapigania.....bado tunaamini katika kudra za Mungu badala ya kufanya kazi kwa bidii.......

Maofisini pamekuwa vijiwe vya kuongelea mipira ya ulaya na Simba na Yanga badala ya kufanya kazi.....uongo uongo mwingi na kutokujali muda hata kidogo......nadhani sisi ndio tunaongoza kwa kutumia muda vibaya......

Ngono ndio imekuwa ajenda kuu kila kwenye vikao vya waTz hata humu unaweza ukaona kweney majukwaa yanayotembelewa na watu wengi basi ni kwenye jukwaa la ngono au mapenzi......

Watanzania ni jamii ya watu wasiopenda kujiendeleza kielimu hata katika mambo madogo tu......mtu yupi radhi kusoma kitanu kikubwa cha hadithi za Shigongo badala ya kusoma vitabu vidogo tu vyenye kumjenda kimaarifa.......utakuta jitu zima kabisa na akili zake limenunua gazeti la udaku na za kimbea..........

Umbea umekuwa ni sehemu ya maisha ya Watanzania.......si kijana si mzee si watoto si wanawake.......ukiona kimekaa kikundi cha watu baada ya kujadili mambo ya msingi kazi ni kusengenya watu tu.........

Ushirikina pia limekuwa ni jambo la kawaida huku Tz.....yaani mtu hata kama anaumwa jino anatamani akapige ramli kwa mganga........

Kupenda maisha ya ujanja ujanja na vitu vya bure.......yaani ukitaka kumteka Mtanzania wewe weka tu msamiati wa BURE...basi hapo umeshamteka.......yaani yupo radhi kununua simu ya elfu thelasini kwa laki moja kwa kuwa tu hiyo simu ina line ya bure na unapewa memory kadi bure....!!!
Magufuli anatubadulisha kwa sasa ingawa ana mabaya yake kidogo
 
Nikiwa Uganda kipindi flani Waganda waganda wanatuchukulia Tanzania wachawi sana pia hata wakenya maana ukitembea Nairobi kuna mabango "Mganga toka Tanzania" basi huyo lazma watu wafurike kwake maana wanajua Tz ni noma..
Pia mwanafunzi waki Tz uganda akimtishia Mganda kua utaona mganda anaweza piga hata magoti maana wanaogopa sna watanzania kuwa ss ni wachawi anaweza geuzwa hata sungura dk yoyote.
Duu! Mkuu ,nimecheka kwel kwel
 
Alitaja sehemu ambazo ziko na Y and X as functions nikampa a few examples
 
Ndio ukweli huo, asilimia kubwa ndio hivyo. Makabila madogo kama Wakisii na Wakamba ndio hujichanganya kote. Kwa Wakikuyu, Wakalenjini na Wajaluo mnachukiana na kutengana hata mkiwa ng'ambo, hayo ndio ninayoyaona mimi.
kama tungekua hivyo kenya haingewai kua na amani, we ushawai ishi kenya kweli? mwenye alieishi atajua huo ni uongo mtupu... hio ni more of steriotyping ya watz kutokana na kuskia story za mbali tu wakiskiza siasa
 
Sasa hivi nipo Ulaya na ninaishi na Wakenya sio stereotype. Nina marafiki Wakikuyu, Wajaluo, Wakalenjini na wengineo. Ukabila umetamalaki kati yenu, mkikutana mara ya kwanza tu lazima mjuane makabila yenu na baada ya hapo ndio kama urafiki utaendelea.
 
Wakenya kwa Wakenya kuwa marafiki baina yao hadi wawe wanatokea kabila moja, Watanzania huwa 'buffer zone' kati ya makabila tofauti ya Kenya

seriously acha uongo, hapo umeng'oa kabisa, ata siezi anza kujibu apo, just not true at all

you must be high on something very lethal or your vacation time has been denied!!! you keep on yapping on makabila kama mtz while kenyans themselves are not. we have tribalism problem but we working on it every day to reduce it. tanzania ukabila upo pia. nowhere is immune, its the measure of the problem that matters. diaspora gani nyie ni buffer zone!!! you sond like a ujamaa relic!!!
 
Back
Top Bottom