Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Namna wa Kenya, Uganda, Rwanda na Watanzania wanavyochukuliana

Kenyans are only tribal in the election time... politics divides us
 
Make Google your friend. Mimi nimefanya kitu simple:

1. Nime_Google connect.citizen.za,,,,,,,unapoiona . za,jua ni website ya South Africa.

2. Nime_Google jina William George, kumbe ni Msauzi???????

Ukishafanya hivyo itakupunguzia kitu ambacho kwa Kiingereza inajulikana kama IGNORANCE.
 
Nawaona wanyarwanda kama ndugu wa Watanzania Ukiachana na maneno ya kisiasa...

Nawaona wakenya kama marafiki wa Watanzania Ukiachana na ile lugha yao na uchoyo uchoyo....

Sielewi kuhusu waburundi sijawahi kutana hata na mmoja...

Waganda hawa ni waoga sana na watu wa kujitenga, pale UD huwa kuna Waganda wengi ila anaweza soma miaka minne darasa moja hata salamu hatoi na huwa ni marafiki wao kwa wao. ..
Nilimkubali mganda mmoja tu ODONG ODWAA the man was so strong and confident sijui jamhuri ilimficha wapi....
 
Nimesoma na mtu toka rwanda na uganda. Nimefanya kazi sana na watu wa kenya.
Wanywarwanda hawatabiriki na wana tabia za ndani sana, ni ngumu sana kuwa open. Ni wale watu wanaoweza kubeba chuki za miaka na miaka.
Waganda wapo kivyaovyao sana, hawana ile kujichanganya na raia wengine hasa waTZ. Ukiona anajichanganya na wewe ujue hana option.
Mkenya ana mbwembwe nyingi ila uwezo ni wa kawaida sana. Sema kilichowasaidia ni ile exposure waliipata mapema sana kuliko watanzania. Ndo maana hata multinationals nyingi zimefika kwao.
Na ubepari umewaathiri sana hadi kwenye shughuli zao za kila siku hasa kufanya mambo yao kwa harakaharaka, kuongea na jinsi wanavyo perceive vitu.
WaTZ ni watu ambao wapo slow but sure. Ni watu ambao hawana ujanjaujanja mwingi. Kama kitu hajui ni hajui kweli. Sio yule anaejidai anajua kumbe la.
Watanzania hawafanyi maamuzi over night. Atawaza mara kumikumi faida na hasara ya hiko kitu. Na yupo radhi akose hiko kitu kuliko akifanye kinyume na mtazamo wake.
Na ndio maana viongozi wa Kenya wanawashangaa viongozi wa Tanzania kwenye kufanya maamuzi. Sisi tunaangalia hasara kwanza then faida, ndo maana kitu kidogo kinaweza chukua hata miaka mitano na hakijapata jibu la maana.
 
Mada murua saana hii muhimu watu waisome na waitafakari kwa kina.

Kimsingi nawakubali saan wakenya wako humble, charming and down to earth wanapenda wabongo kinamna flani and wabongo pia wanafeel appreciated wanapokuwa na Kenyans around. Warundi wako kama Waganda closed society hawataki stories na mtu na hawana kiswahili kizuri ila ni watu violent and they have nothing to lose.

Wanyarwarda wamebadilika kwa kiasi kikubwa sana since Kagame's transformation wako friendly, supportive, charming and comfortable to hang around with na wanapenda Kenyans and Tanzanians wakiamini tunajua kiswahili na kiingereza kwa ufasaha maana Mnyarwanda anajua kinyarwanda kwa ufasaha na kifaransa kwa wasomi tu. Ila mnyarwanda hampendi mrundi na mcongoman nadhani hii ni kutokana na historical background ya nchi hizi mbili. For the case ya kenyans and Tanzanians Ukiongea kiingereza tu kwa mnyarwanda wao wanajua utakuwa mhisani wa maendeleo..lol!

Ila so far so good! East afrika inakuwa more connected and accessible with mutual respect and benefits.
 
Mimi kama Mtanzania, Nawachukulia jirani zangu Wakenya kama watu wanao leta changamoto za kimaendeleo katika ukanda wetu wa EA, Waganda sijui much kuhusu wao ila najua chakula chao kikuu ni Matoke, Rwanda ni watuflani ambao wapo serious sana na isue zao hawapendi mbwembwe
 
Mada murua saana hii muhimu watu waisome na waitafakari kwa kina.

Kimsingi nawakubali saan wakenya wako humble, charming and down to earth wanapenda wabongo kinamna flani and wabongo pia wanafeel appreciated wanapokuwa na Kenyans around. Warundi wako kama Waganda closed society hawataki stories na mtu na hawana kiswahili kizuri ila ni watu violent and they have nothing to lose.

Wanyarwarda wamebadilika kwa kiasi kikubwa sana since Kagame's transformation wako friendly, supportive, charming and comfortable to hang around with na wanapenda Kenyans and Tanzanians wakiamini tunajua kiswahili na kiingereza kwa ufasaha maana Mnyarwanda anajua kinyarwanda kwa ufasaha na kifaransa kwa wasomi tu. Ila mnyarwanda hampendi mrundi na mcongoman nadhani hii ni kutokana na historical background ya nchi hizi mbili. For the case ya kenyans and Tanzanians Ukiongea kiingereza tu kwa mnyarwanda wao wanajua utakuwa mhisani wa maendeleo..lol!

Ila so far so good! East afrika inakuwa more connected and accessible with mutual respect and benefits.

very true, Wa Rwanda wanawapenda wakenya na wabongo sana, nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunaenda kigali mtaa wa Remera kuna bar flani inaitwa che Grill, madem wakiskia tukiongea kizungu ama kiswahili wanadata kweli, pale nimekula madame wengi sana wa kiRwanda. Ni watu wazuri lakini wa siri na hawapendani wenyewe kwa wenyewe, hope they'll sort out their difference in peace coz it's such a good country.

Uganda kwa wakenya wengi ni kama nyumbani, wanatuchukulia kama ndugu ubaya wanatuona wajuaji juaji, wakenya hawana noma na waganda kabisa, hapa wako home tu.

Majuzi nilikuwa Arusha, hapo njee ya Green mountain hotel kuna car wash huwa nimeizoea sana kwa kuwa Arusha ni kama nyumbani, tulikuwa na msafara kama magari tatu hivi zote zina usajili wa kenya, niliskia jamaa barabarani akisema 'Hawa wakenya waende kwao'', iliniuma sana kwa kuwa sisi sio wezi, tumekuja tukalala kwenye hotels, tukanywa na tukala, kumaanisha tumewafaidisha watu kadhaa hapo arusha. watanzania bado wana ka chuki na Kenya, na naomba hao wanaodhani kenya wanachukia watanzania, wajaribu tu wavuke boder waingie Kenya waone wanavyochukuliwa kama ndugu na jirani mwema.. mnafaa kubadilisha mentality wakuu.
 
Unajua arusha mkuu ni sawa na Kenya tu! Hao waliowabagua ni Wakenya wenzenu hawataki mjae hapo maana wote ni nyie ni mafundi wa kutafuta prsa for hook and crook wanataka watanzania ambao wako slow and easy ili waendelee kuwaburuza maana ukiea na mtanzania pahali ujue tayari soko unalo.

Matter of fact! Hapa Kigoma tunawaheshimu sana wakenya kwa usmart wao na kiingereza chao fluent...we treat them special and privileged person.

Don't judge entire country kwa kuzinguliwa na watu wachache ambao technically na wao ni Kenyans maana watu wa arusha wanashare a lot of things in common na wakenya. Therefore they are Kenyans.

Kuna kamsemo tuliaminishwa na mwl Nyerere kwamba...Afrika ni moja na waafrika wote ni ndugu zangu.
 
Nimekupata mkuu, hizi borders zisitufanye tubaguane, sisi ni ndugu.
 
Mimi kama Mkenya niliye Tanzania nimemuoa Mtanzania huwa na wakati mgumu ninapoenda nyumbani, ndugu na marafiki hutamani niende na familia yangu. Wao hupenda WaTz, tofauti na vita vya hapa JF hujaribu kuwaaminisha wengi. Wakenya huwaona/huwachukulia WaTz kuwa ni watu wastaarabu, wakarimu, wapole, wenye heshima zaidi ya yote Kiswahili chao kinapendwa sana. Ila sasa,sisi huona Watanzania ni watu wa kujivuta saaaaaaaana. Nawasilisha.
Hili la kujivuta au kauvivu fulani kapo na kahistoria kake, mfano ni mikoa ya Pwani kuna kaumwinyi fulani urithi wa kiarabu, lakini pia ubora wa ardhi yao, haikumuhtaji mtu kuhanja sana kusurvive, wana mazao ya kudumu pia. Ktk kipindi ambacho hitaji kuu lilikuwa ni chakula huu uvivu haukuwa na impacts kwao. Unaweza ukawatofautisha na watokao bara mfano wasukuma. Ktk levo za kitaifa, uvivu ulitokana na mabadiliko mbalimbali ya mifumo ya kiuchumi na kifedha, kipindi cha ujamaa watu walifanya kazi sana, uwajibikaji ulikuwa mkubwa. Kikapita kipindi 90s udilidili uposhamiri uwajibikaji ukapungua sana, hata hivyo yanarekebishika. Naanza kuiona Tz ya watu wawajibikaji haswa kwa huyu anko Magu wetu. Mungu ibariki Africa.
 
Yote tisa kumi. Hawa maduu/manzi/wasichana wa kirundi mbona kama wanaringaga saaana kutoka na mtz. Ila wanabamba
 
Wakenya na wanyarwanda wanawapenda wabongo the way wanavyoongea kiswahili, lafudhi za wabongo znawadatisha wanyarwanda na Wakenya hasa mademu. Mwaka jana nilikuwa Kigali mida ya jioni nakatiza mitaa huku naongea na simu kwa kiswahili, mademu wa Rwanda walinipenda sana ninavyoongea kiswahili kitamu kama kile
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Niko zangu out of Tanzania but my almost all friends are kenyan..Together is one.
 
Ni nawaona wakenya kama wachapakazi Sana na wenye kujituma. Wabongo nawaona wavivu Sana, kazi kupiga story maofisini hawafanyi kazi kabisa, akitokea mkenya mchapakazi utasiki anajipendekeza kwa boss au anataka sifa etc..
Alaa , ndo mana Magufuli anawanyoosha
 
Nimesikia hili kutoka wakurya na wajaluo ambao wanapatikana nchi zote mbili. Naona kwa jibu lako kuwa ukenya wako unazua hisia hata miongoni wa majamaa zako wa karibu.
Lakini kwa ujumla nimeona jinsi tunavyojituma kazini ni tofauti sana baina yetu. Waajiri wengi sana wana penda wakenya kwa umakini na ustadi wao ukilinganisha na majirani. Mfano: mwaka 2009 nilipoenda Uganda kwa ziara za kazi, nilikutana na muajiri mmoja wa ujenzi amabaye kamwe hakutaka mafundi wa huko kisa wana visingizio vya kila siku. Aliwaajiri wakenya tupu toka secretary hadi seremala.
Duh ,huu mfano wako umelingana kabisa mifano wa mfanya kazi Mmarekani na mtu wa Mexico.Boss wengi sana kwa viwanda na mijengo wanapendelea sana watu wa Mexico kwa uchapaji kazi kwa bidii ,hawana masingizio na wao kukosa kazini ni nadra sana sana.
 
Back
Top Bottom