bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
Wageni huwa comfortable na wageni wenzao.. they feel they belong outside.Quickly
Kuna Mganda tumekutana naye kikazi Bongo, mwanzoni hakujua mimi Mkenya maana aliona jinsi najichanganya na Wabongo halafu pia na lafudhi yangu wakati naongea Kiswahili. Sasa jamaa muda wote alionekana kuwa anataharuki kiaina kila alipokua anaongea na sisi, yeye alitumia Kingereza muda wote.
Sasa baada ya siku kama mbili hivi nikajitambulisha kwake kuwa mimi Mkenya, jamaa akahoji Mkenya wa wapi maana anaijua Kenya. Nilipompa taarifa kamili hadi akaamini kweli mimi Mkenya, jamaa ghafla akachangamka na kuonekana mwenye furaha na kuongea na mimi bila uwoga uwoga wowote. Yaani ikawa tunajiachia tunaongea kuhusu kila kitu hadi mambo ya kiume kama mademu na mengineyo, yaani kama washkaji wa muda mrefu.
Japo aliondoka siku iliyofuatia kama ilivyokua kwenye ratiba, lakini nilitaka kumuuliza mbona ghafla alionekana kujiamini kihivyo baada ya kujua mimi Mkenya. Kwanini mwanzoni tulikua kama tunaogopana vile, tatizo nini. Hiyo ilidhihirisha tuna undugu wa kiaina na Waganda.
Wageni huwa comfortable na wageni wenzao.. they feel they belong outside.
umefikiria mbali sana. nahisi ni mtaalam wa saikolojiaWageni huwa comfortable na wageni wenzao.. they feel they belong outside.
it makes sense kwamba mgeni atakua more comftable na mgeni mwenziwe but MK254, alidhani we ni mwenyeji wa Tz so hakukuona wewe kama mgeni huko tz hata alipojua we ni mkenya, imagin kama angegundua we ni mkongo au mghana au mmozambiki, je angegiachilia na wewe awe huru hivyo? hamgekua mnashikana kitabia, atleast not right away, mgechukua muda mkijuana kuhusu nchi zenu na tabia xa ki nchi zenu, lakini wakebya na wa UG hujuana kitabia tayari, kwahivyo hamkupoteza muda kujuana kuhusu tabia au mienendo yenu, mlienda straight kwa u bro
Kumbe watz tunaogopwa safisana wasituee sana watakuja kututia vidole vya macho ## adui zako watakuja mbele yako wakitetemeka ## imeandika hiyoQuickly
Kuna Mganda tumekutana naye kikazi Bongo, mwanzoni hakujua mimi Mkenya maana aliona jinsi najichanganya na Wabongo halafu pia na lafudhi yangu wakati naongea Kiswahili. Sasa jamaa muda wote alionekana kuwa anataharuki kiaina kila alipokua anaongea na sisi, yeye alitumia Kingereza muda wote.
Sasa baada ya siku kama mbili hivi nikajitambulisha kwake kuwa mimi Mkenya, jamaa akahoji Mkenya wa wapi maana anaijua Kenya. Nilipompa taarifa kamili hadi akaamini kweli mimi Mkenya, jamaa ghafla akachangamka na kuonekana mwenye furaha na kuongea na mimi bila uwoga uwoga wowote. Yaani ikawa tunajiachia tunaongea kuhusu kila kitu hadi mambo ya kiume kama vile kuhusu mademu na mengineyo, yaani kama washkaji wa muda mrefu.
Japo aliondoka siku iliyofuatia kama ilivyokua kwenye ratiba, lakini nilitaka kumuuliza mbona ghafla alionekana kujiamini kihivyo baada ya kujua mimi Mkenya. Kwanini mwanzoni tulikua kama tunaogopana vile, tatizo nini. Hiyo ilidhihirisha tuna undugu wa kiaina na Waganda.
Waganda wanaona tanzania na kiswaili cha Tanzania kama jeshi ivyo wanakuwa waogaQuickly