sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Make Google your friend. Mimi nimefanya kitu simple:
Zingatia ngeli
Mada murua saana hii muhimu watu waisome na waitafakari kwa kina.
Kimsingi nawakubali saan wakenya wako humble, charming and down to earth wanapenda wabongo kinamna flani and wabongo pia wanafeel appreciated wanapokuwa na Kenyans around. Warundi wako kama Waganda closed society hawataki stories na mtu na hawana kiswahili kizuri ila ni watu violent and they have nothing to lose.
Wanyarwarda wamebadilika kwa kiasi kikubwa sana since Kagame's transformation wako friendly, supportive, charming and comfortable to hang around with na wanapenda Kenyans and Tanzanians wakiamini tunajua kiswahili na kiingereza kwa ufasaha maana Mnyarwanda anajua kinyarwanda kwa ufasaha na kifaransa kwa wasomi tu. Ila mnyarwanda hampendi mrundi na mcongoman nadhani hii ni kutokana na historical background ya nchi hizi mbili. For the case ya kenyans and Tanzanians Ukiongea kiingereza tu kwa mnyarwanda wao wanajua utakuwa mhisani wa maendeleo..lol!
Ila so far so good! East afrika inakuwa more connected and accessible with mutual respect and benefits.
Unajua arusha mkuu ni sawa na Kenya tu! Hao waliowabagua ni Wakenya wenzenu hawataki mjae hapo maana wote ni nyie ni mafundi wa kutafuta prsa for hook and crook wanataka watanzania ambao wako slow and easy ili waendelee kuwaburuza maana ukiea na mtanzania pahali ujue tayari soko unalo.very true, Wa Rwanda wanawapenda wakenya na wabongo sana, nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunaenda kigali mtaa wa Remera kuna bar flani inaitwa che Grill, madem wakiskia tukiongea kizungu ama kiswahili wanadata kweli, pale nimekula madame wengi sana wa kiRwanda. Ni watu wazuri lakini wa siri na hawapendani wenyewe kwa wenyewe, hope they'll sort out their difference in peace coz it's such a good country.
Uganda kwa wakenya wengi ni kama nyumbani, wanatuchukulia kama ndugu ubaya wanatuona wajuaji juaji, wakenya hawana noma na waganda kabisa, hapa wako home tu.
Majuzi nilikuwa Arusha, hapo njee ya Green mountain hotel kuna car wash huwa nimeizoea sana kwa kuwa Arusha ni kama nyumbani, tulikuwa na msafara kama magari tatu hivi zote zina usajili wa kenya, niliskia jamaa barabarani akisema 'Hawa wakenya waende kwao'', iliniuma sana kwa kuwa sisi sio wezi, tumekuja tukalala kwenye hotels, tukanywa na tukala, kumaanisha tumewafaidisha watu kadhaa hapo arusha. watanzania bado wana ka chuki na Kenya, na naomba hao wanaodhani kenya wanachukia watanzania, wajaribu tu wavuke boder waingie Kenya waone wanavyochukuliwa kama ndugu na jirani mwema.. mnafaa kubadilisha mentality wakuu.
Unajua arusha mkuu ni sawa na Kenya tu! Hao waliowabagua ni Wakenya wenzenu hawataki mjae hapo maana wote ni nyie ni mafundi wa kutafuta prsa for hook and crook wanataka watanzania ambao wako slow and easy ili waendelee kuwaburuza maana ukiea na mtanzania pahali ujue tayari soko unalo.
Matter of fact! Hapa Kigoma tunawaheshimu sana wakenya kwa usmart wao na kiingereza chao fluent...we treat them special and privileged person.
Don't judge entire country kwa kuzinguliwa na watu wachache ambao technically na wao ni Kenyans maana watu wa arusha wanashare a lot of things in common na wakenya. Therefore they are Kenyans.
Kuna kamsemo tuliaminishwa na mwl Nyerere kwamba...Afrika ni moja na waafrika wote ni ndugu zangu.
Hili la kujivuta au kauvivu fulani kapo na kahistoria kake, mfano ni mikoa ya Pwani kuna kaumwinyi fulani urithi wa kiarabu, lakini pia ubora wa ardhi yao, haikumuhtaji mtu kuhanja sana kusurvive, wana mazao ya kudumu pia. Ktk kipindi ambacho hitaji kuu lilikuwa ni chakula huu uvivu haukuwa na impacts kwao. Unaweza ukawatofautisha na watokao bara mfano wasukuma. Ktk levo za kitaifa, uvivu ulitokana na mabadiliko mbalimbali ya mifumo ya kiuchumi na kifedha, kipindi cha ujamaa watu walifanya kazi sana, uwajibikaji ulikuwa mkubwa. Kikapita kipindi 90s udilidili uposhamiri uwajibikaji ukapungua sana, hata hivyo yanarekebishika. Naanza kuiona Tz ya watu wawajibikaji haswa kwa huyu anko Magu wetu. Mungu ibariki Africa.Mimi kama Mkenya niliye Tanzania nimemuoa Mtanzania huwa na wakati mgumu ninapoenda nyumbani, ndugu na marafiki hutamani niende na familia yangu. Wao hupenda WaTz, tofauti na vita vya hapa JF hujaribu kuwaaminisha wengi. Wakenya huwaona/huwachukulia WaTz kuwa ni watu wastaarabu, wakarimu, wapole, wenye heshima zaidi ya yote Kiswahili chao kinapendwa sana. Ila sasa,sisi huona Watanzania ni watu wa kujivuta saaaaaaaana. Nawasilisha.
Alaa , ndo mana Magufuli anawanyooshaNi nawaona wakenya kama wachapakazi Sana na wenye kujituma. Wabongo nawaona wavivu Sana, kazi kupiga story maofisini hawafanyi kazi kabisa, akitokea mkenya mchapakazi utasiki anajipendekeza kwa boss au anataka sifa etc..
Duh ,huu mfano wako umelingana kabisa mifano wa mfanya kazi Mmarekani na mtu wa Mexico.Boss wengi sana kwa viwanda na mijengo wanapendelea sana watu wa Mexico kwa uchapaji kazi kwa bidii ,hawana masingizio na wao kukosa kazini ni nadra sana sana.Nimesikia hili kutoka wakurya na wajaluo ambao wanapatikana nchi zote mbili. Naona kwa jibu lako kuwa ukenya wako unazua hisia hata miongoni wa majamaa zako wa karibu.
Lakini kwa ujumla nimeona jinsi tunavyojituma kazini ni tofauti sana baina yetu. Waajiri wengi sana wana penda wakenya kwa umakini na ustadi wao ukilinganisha na majirani. Mfano: mwaka 2009 nilipoenda Uganda kwa ziara za kazi, nilikutana na muajiri mmoja wa ujenzi amabaye kamwe hakutaka mafundi wa huko kisa wana visingizio vya kila siku. Aliwaajiri wakenya tupu toka secretary hadi seremala.