Mkuu, ina maana haki yako ya kupewa risiti halali ya manunuzi uliyoyafaya pia ni jukumu la TRA, kazi . Kama ungekuwa ni mzalendo wa kweli lazima ungekomaliaactual amount iwe kweye risiti, otherwise wewe pa ni chenga tuMara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh. 1.2 mil. nilipolalamika kuhusu jambo hili wakasema ushuru ni mkubwa hapa Tz. Nilipojaribu kuwauliza watu wengine walionunua wakadai the same, TRA tupieni macho hapo, au mnalijua hili mmenyamazia tu?
Sijaelew ulicho andika.jamani is hu siyo taiga gain? hapa ishu no kodi Hays yote wanafundishwa na watanzania& TRA Kofi ni kubwa hazilipiki hebu wakae waweke viwango vinavyo lipika watapungiza watu kukimbia Kofi.
Sijaelew ulicho andika.