Namna Wachina wanavyokwepa kodi nchini

Namna Wachina wanavyokwepa kodi nchini

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh. 1.2 mil. nilipolalamika kuhusu jambo hili wakasema ushuru ni mkubwa hapa Tz. Nilipojaribu kuwauliza watu wengine walionunua wakadai the same, TRA tupieni macho hapo, au mnalijua hili mmenyamazia tu?
 
Hii nchi wahindi bado hatujaweweza now tumeletewa wachina! Kweli shamba la bibi
 
jamani is hu siyo taiga gain? hapa ishu no kodi Hays yote wanafundishwa na watanzania& TRA Kofi ni kubwa hazilipiki hebu wakae waweke viwango vinavyo lipika watapungiza watu kukimbia Kofi.
 
Nawe acha kupiga kelele ulikubali kuchikua hio lisiti na ukaenda nsyo home, do you know what it mean??? Umejiibia mwenyewe na kama itaibiwa hio lisiti ndo uhakika wa wewe kuwa ulinunua hio pikipiki for 1.2m t.sh na sio 1.9m t.sh ulizolipa
Ni haki yako kama mtanzania kuhakikisha unapata lisiti inayolingana na malipo uliyofanya
 
elimu ya kodi ni muhimu TRA wakaanzia darasa la 4 ili mtanzania akatambua umuhimu wa kodi
 
Mkuu tunakushauri upeleke risiti yako TRA na utoe malalamiko
Hilo ni suala linalohitaji action ya haraka
B the change u want to see
kama unataka Wachina watuone Watz wote ni mafala endelea kukaa na risiti yako nyumbani
 
Mara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh. 1.2 mil. nilipolalamika kuhusu jambo hili wakasema ushuru ni mkubwa hapa Tz. Nilipojaribu kuwauliza watu wengine walionunua wakadai the same, TRA tupieni macho hapo, au mnalijua hili mmenyamazia tu?
Mkuu, ina maana haki yako ya kupewa risiti halali ya manunuzi uliyoyafaya pia ni jukumu la TRA, kazi . Kama ungekuwa ni mzalendo wa kweli lazima ungekomaliaactual amount iwe kweye risiti, otherwise wewe pa ni chenga tu
 
jamani is hu siyo taiga gain? hapa ishu no kodi Hays yote wanafundishwa na watanzania& TRA Kofi ni kubwa hazilipiki hebu wakae waweke viwango vinavyo lipika watapungiza watu kukimbia Kofi.
Sijaelew ulicho andika.
 
Watanzania tu wapuuzi sana tena sana haya mambo yanafanyika mchana kweupee mbele yetu tena kwa msaada wetu wenyewe.
China hakuna huu upuuzi na kama upo wanafanya wenyewe tena kwa kificho mno
 
Back
Top Bottom