kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh. 1.2 mil. nilipolalamika kuhusu jambo hili wakasema ushuru ni mkubwa hapa Tz. Nilipojaribu kuwauliza watu wengine walionunua wakadai the same, TRA tupieni macho hapo, au mnalijua hili mmenyamazia tu?