Namna Wadukuzi wanavyoweza Kudukua Account zako za Social Media

Namna Wadukuzi wanavyoweza Kudukua Account zako za Social Media

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Usifate maelekezo Kutoka kwa Watoa huduma 'FAKE'
1721813908071.png

Njia kubwa wanayoitumia Kwa sasa ni hii Mdukuzi hukutafuta kama Mtoa Huduma kutoka katika Kitengo cha huduma kama instagram, facebook na mitandao mengine ya kijamii, wakikutaka Uthibitishe Taarifa zako ili 'Account' yako isifungiwe.

Watakupatia Link ambayo sio rasmi, na Bila kujua ukajaza Taarifa zako kwa usahihi na kusakinisha, watakuambia Umekosea password lakini wakati huohuo wanakuwa wamepata Taarifa hizo.

Huzitumia Kuingia katika 'Account' yako hiyo na kubadilisha taarifa zote, wengi baada ya hivyo hujikuta wamepoteza Account zao bila kujua na hulalamika mtu amedukua Account zao.
 
Back
Top Bottom