Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Hahahaaha kwanza mesiah sio mzungu ni mwana israel.Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu π kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Muhammed sio Mungu ni mtume kwa taarifa yako.Ndio tupo hivyo Afrika, inabidi tuabudu miungu ya kizungu hadi siku ukweli utabainika yupi ndio wa kweli, Tanzania kwa sasa nafikiri waislamu wamewazidi Wakristo, hivyo nyie kidogo mnamuabudu mungu wa kiarabu. Hivyo hatuchekani, kuna wameweka sanamu za mzungu kwenye makanisa na kuziabudu.
Kwa kifupi tusubiri siku za kiama tutajua yupi alikua wa kweli, hufai kuwacheka hao waliomuabudu aliyekuja maana na wewe huyo mohammed wako wa kiarabu hatujui kama ndiye wa kweli, uliletewa tu.
Muhammed sio Mungu ni mtume kwa taarifa yako.
Na watu hawamuabudu Muhammed bali wanamuabudu Allah.
Lakn sasa mnachonishangaza nyie mtu anajitangaza yeye Yesu "Jesus Christ " mnamuamini na kumsujudia bro mko makin kweli????
Mbona kwa wazungu hatujawahi sikia huo ujinga ???
Sawa basi Yesu ni mtukufu ht mm nakubali ila sio yule jamaa kuja kuwachezesha shere broooo.
Sawa ila wanaojilipua usiwanasibishe na waislam answar na ht hvyo humtaja Allah sio Muhammed.Huyo mohammed unamjuaje? ulimuona? ni mweusi mwenzako au mwarabu, kama hamumuabudu mbona akitajwa huwa mnapata hamaki na kuanza kujilipua mabomu kwenye hayo makanzu yenu na mindevu.
Ukweli wa mambo ni kwamba haya yote ya dini ni mambo ambayo tumeletewa, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachokitaka, kunaye anaabudu ng'ombe, mwengine sanamu, mimi siabudu huyo mtu aliyetajwa kwenye huu uzi ila sina haki ya kuwahukumu hao waliomuabudu maana hata mimi ninayemuabudu ninafanya kwa imani na nipo radhi kukesha nikimtetea kuwa ndiye bora, maana wa kwangu alishatabiri haya mnayoyaona, maandiko yanasema kwamba ipo siku watakuja wengi, mtaitwa na kuambiwa yuko huku, yuko kule.
Sawa ila wanaojilipua usiwanasibishe na waislam answar na ht hvyo humtaja Allah sio Muhammed.
Anyway sawa muaminini mnachoamin nasi tutaamin tunachokiamin.
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Who cares?
Ndio athari za nyie wapenda dini wote!
Who cares hata kama unaabudu mavi?
Abudu whatever the fvck you want,nchi huru!
Wana katiba mpya,wana demokrasia bora kabisa Africa,wana uchumi bora kabisa,wana elimu na maisha bora!
Who cares???
Ndio tupo hivyo Afrika, inabidi tuabudu miungu ya kizungu hadi siku ukweli utabainika yupi ndio wa kweli, Tanzania kwa sasa nafikiri waislamu wamewazidi Wakristo, hivyo nyie kidogo mnamuabudu mungu wa kiarabu. Hivyo hatuchekani, kuna wameweka sanamu za mzungu kwenye makanisa na kuziabudu.
Kwa kifupi tusubiri siku za kiama tutajua yupi alikua wa kweli, hufai kuwacheka hao waliomuabudu aliyekuja maana na wewe huyo mohammed wako wa kiarabu hatujui kama ndiye wa kweli, uliletewa tu.
Panic[emoji2]
Lol π. Sacrilegious as usual.Panic?
Says who?
You the dumb dumb?
Aliepaniki ni wewe ulieenda mtaani ukakuta wapumbavu wawili watatu waabudu dini na mpumbavu mmoja hivi aitwae Mungu then una generalize ni the entire population of people!
Hii ni ignorance ya hali ya juu if you ask me!
Hehehehe,
Jana lazima ulipiga bapa nzima ndio ukaanza kubonyezabonyeza simu yako na kupost hii nonsense
Who cares?
Ndio athari za nyie wapenda dini wote!
Who cares hata kama unaabudu mavi?
Abudu whatever the fvck you want,nchi huru!
Wana katiba mpya,wana demokrasia bora kabisa Africa,wana uchumi bora kabisa,wana elimu na maisha bora!
Who cares???