Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu 😁 kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.