Namna Wakenya wanavyoabudu Wazungu

Namna Wakenya wanavyoabudu Wazungu

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu 😁 kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.

Tazama mwenyewe

.

My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
 
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.

Hahahaaha kwanza mesiah sio mzungu ni mwana israel.
HAHAHAHHAHHAHAHAHAHH DAH KWELI KENYA
 
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu 😁 kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.

Tazama mwenyewe

.

My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.

Yesu kashukia Kenya, Watz mmeshikwa na wivu kwanini hakushukia Dsm.!!!🤣
 
Majirani NairobiWalker MK254 tupeni ufadanuzi hapa
pingli-nywee

Ndio tupo hivyo Afrika, inabidi tuabudu miungu ya kizungu hadi siku ukweli utabainika yupi ndio wa kweli, Tanzania kwa sasa nafikiri waislamu wamewazidi Wakristo, hivyo nyie kidogo mnamuabudu mungu wa kiarabu. Hivyo hatuchekani, kuna wameweka sanamu za mzungu kwenye makanisa na kuziabudu.
Kwa kifupi tusubiri siku za kiama tutajua yupi alikua wa kweli, hufai kuwacheka hao waliomuabudu aliyekuja maana na wewe huyo mohammed wako wa kiarabu hatujui kama ndiye wa kweli, uliletewa tu.
 
Muhammed sio Mungu ni mtume kwa taarifa yako.
Na watu hawamuabudu Muhammed bali wanamuabudu Allah.
Lakn sasa mnachonishangaza nyie mtu anajitangaza yeye Yesu "Jesus Christ " mnamuamini na kumsujudia bro mko makin kweli????
Mbona kwa wazungu hatujawahi sikia huo ujinga ???
Sawa basi Yesu ni mtukufu ht mm nakubali ila sio yule jamaa kuja kuwachezesha shere broooo.
 
Huyo mohammed unamjuaje? ulimuona? ni mweusi mwenzako au mwarabu, kama hamumuabudu mbona akitajwa huwa mnapata hamaki na kuanza kujilipua mabomu kwenye hayo makanzu yenu na mindevu.
Ukweli wa mambo ni kwamba haya yote ya dini ni mambo ambayo tumeletewa, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachokitaka, kunaye anaabudu ng'ombe, mwengine sanamu, mimi siabudu huyo mtu aliyetajwa kwenye huu uzi ila sina haki ya kuwahukumu hao waliomuabudu maana hata mimi ninayemuabudu ninafanya kwa imani na nipo radhi kukesha nikimtetea kuwa ndiye bora, maana wa kwangu alishatabiri haya mnayoyaona, maandiko yanasema kwamba ipo siku watakuja wengi, mtaitwa na kuambiwa yuko huku, yuko kule.

Wazungu na waarabu wasingekuja Afrika, wewe hapo usingepata dini wala utaifa, leo unajiita Mtanzania kisa mzungu alikuja akakuchorea mipaka. Hivyo huna jeuri ya kumcheka yeyote maana unaishi kulingana na misingi uliyoachiwa na mzungu na mwarabu.
 
Huyo mohammed unamjuaje? ulimuona? ni mweusi mwenzako au mwarabu, kama hamumuabudu mbona akitajwa huwa mnapata hamaki na kuanza kujilipua mabomu kwenye hayo makanzu yenu na mindevu.
Ukweli wa mambo ni kwamba haya yote ya dini ni mambo ambayo tumeletewa, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachokitaka, kunaye anaabudu ng'ombe, mwengine sanamu, mimi siabudu huyo mtu aliyetajwa kwenye huu uzi ila sina haki ya kuwahukumu hao waliomuabudu maana hata mimi ninayemuabudu ninafanya kwa imani na nipo radhi kukesha nikimtetea kuwa ndiye bora, maana wa kwangu alishatabiri haya mnayoyaona, maandiko yanasema kwamba ipo siku watakuja wengi, mtaitwa na kuambiwa yuko huku, yuko kule.
Sawa ila wanaojilipua usiwanasibishe na waislam answar na ht hvyo humtaja Allah sio Muhammed.
Anyway sawa muaminini mnachoamin nasi tutaamin tunachokiamin.
 
Huyo allah ulimjuaje kuwa ndiye? Mwarabu asingekuja kuwabaka waafrika na kuwabeba mateka huko ukanda wote kuanzia Mtwara, kupitia Dar hadi Tanga usingemjua huyo allah. Hivyo wacha kuwacheka wenzako ambao nao wamefanya maamuzi kama walichofanya mababu zako za kumfuata wa mwarabu.
Na pia mabomu huwa mnajilipua mohammed akitajwa, fuata taarifa za habari vizuri...kuna kipindi jamaa walichora katuni ya mohammed kule Ufaransa ikasababisha maafa kwenye nchi nyingi za nyie mnayemuabudu huyo Mudi
 
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.

Tazama mwenyewe

.

My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.

Who cares?

Ndio athari za nyie wapenda dini wote!

Who cares hata kama unaabudu mavi?

Abudu whatever the fvck you want,nchi huru!

Wana katiba mpya,wana demokrasia bora kabisa Africa,wana uchumi bora kabisa,wana elimu na maisha bora!

Who cares???
 
Panic[emoji2]
 
Ndio tupo hivyo Afrika, inabidi tuabudu miungu ya kizungu hadi siku ukweli utabainika yupi ndio wa kweli, Tanzania kwa sasa nafikiri waislamu wamewazidi Wakristo, hivyo nyie kidogo mnamuabudu mungu wa kiarabu. Hivyo hatuchekani, kuna wameweka sanamu za mzungu kwenye makanisa na kuziabudu.
Kwa kifupi tusubiri siku za kiama tutajua yupi alikua wa kweli, hufai kuwacheka hao waliomuabudu aliyekuja maana na wewe huyo mohammed wako wa kiarabu hatujui kama ndiye wa kweli, uliletewa tu.

Hehehehe,
Jana lazima ulipiga bapa nzima ndio ukaanza kubonyezabonyeza simu yako na kupost hii nonsense
 
Panic[emoji2]

Panic?

Says who?

You the dumb dumb?

Aliepaniki ni wewe ulieenda mtaani ukakuta wapumbavu wawili watatu waabudu dini na mpumbavu mmoja hivi aitwae Mungu then una generalize ni the entire population of people!

Hii ni ignorance ya hali ya juu if you ask me!
 
Lol 😂. Sacrilegious as usual.
Nyie wanasayansi mmefika wapi na ile nadharia ya mageuzi. Any new discoveries?
 
Hehehehe,
Jana lazima ulipiga bapa nzima ndio ukaanza kubonyezabonyeza simu yako na kupost hii nonsense

Niliandika nikiwa sober kabisa, japo ni ukweli, sote kila mmoja huabudu anachokiamini, kunao wamechonga sanamu ya budhaa na huwambii kitu, sasa hao wakenya japo ninawaona mapoyoyo lakini wanao uhuru wao wa kuabudu, hawana tofauti na wale wafuasi wa Gwajima huko Tanzania pamoja na kwamba video zake kuvuja zikionyesha anavyozungusha kiuno kwa mwanamke, wao wapo naye mpaka mwisho, huwambii kitu.
Au hata kikombe cha babu wa Loliondo ambacho kilipigiwa debe na serikali ya Tanzania, au wavaa makanzu na kulea mindevu wakijilipua kwa mabomu kisa mudi ametajwa, haya mambo hatuchekani.
 
Iyo katiba inawasaidia nn? Huo uchumi unawaidia nn? Elimu ipi bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] maisha yapi bora hayo.

Back
Top Bottom