The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Ni siku chache zimepita tangu wakenya waishangaze Dunia, Baada ya takribani robo ya jiji la Nairobi kusimama wakimsujudu Mzungu mmoja wakiamini ni Yesu [emoji16] kumbe ni mafia mmoja kutoka Italia aliyekuja kuwapiga hela.
Tazama mwenyewe
.
My take : Wakenya, Sio kila mzungu ni masiah wengine ni wapiga dili tu.
Hujui kuhusu chochote kuhusu uislam.
Kila unaloongea inadhihirisha ujinga wako kichwani.
Maana yote unayoongea ni uongo mtupu.
Hujui maana ya iman ni nn kwetu.
Nothing you know bakia na ujinga huo huo kuwa wanaofanya vile ni waislam.
Then bakia na ujinga huo huo kusema waliuliwa na kubakwa waafrika maana ht historia ya kufika uislam Afrika huijui.
Yan unaongea tu kiuhemko.
Hata wanaojua uislam na historia yake watakuwa wanakucheka tuu kwa ujinga mwingi ulio nao kichwani.
Sina chuki na mkenya yoyote,
Chuki zako na serikali bakiza huko huko.
Mimi ni mwanachama wa CDM na nina kadi ya uwanachama, na ninamkubali magu kwa kazi Nzuri anayoifanya awamu hii,
Ww na chuki zako shauri yako cc Tz tunasonga mbele,
Endelea kusema nina chuki na wakenya
Hatutaki GDP ya kwenye makaratasi hapa
NDIO MAANA NIMEKWAMBIA KAA KIMYA BROO.Nimekuambia sina haja ya kuujua uislamu zaidi ya maafa unaotuletea, mauaji na mabomu kote na wavaa makanzu na mindevu ambao hawataki kuskia mudi akitajwa, mnavyojilipua na kuharibu dunia. Siku nyingine usikurupuke kuwacheka wenzako wakiabudu kituko maana na wewe na likanzu lako hamna tofauti.
Eti baba angu mm mwenyewe nashangaaa.Hakuna watu wajinga kama Wakenya ukanda
[emoji38][emoji38][emoji38]kwani yesu hakuwa mzungu?Manyang'au ndio yalivyo. Hayajaanza leo kusujudia wazungu.
Kaka mwana wa Israel na mzungu wapi na wapi.???!!!![emoji38][emoji38][emoji38]kwani yesu hakuwa mzungu?
NDIO MAANA NIMEKWAMBIA KAA KIMYA BROO.
MAANA UNALOONGEA KUHUSU UISLAM NI UONGO.
HUNA ULIJUALO WE KAA KIMYA.
SIJAKULAZIMISHA UUJUE UISLAM NA WALA STAKI UUJUE.
KAMUABUDU YESU KANISAN.
SIJAKWAMBIA KUWA NATAKA KUKUFUNZA UISLAM
THEN WEWE MTU MZIMA ELEWA UNALOAMBIWA.
UMEOA UNA WATOTO USTAKE NIANZE KUKUONA PUNGA MCHANA HUU.
NIMEKUSISITIZA AMINI UNACHOKIAMIN NA MM NIACHE NA IMAN YANGU.
NA UNALOONGEA KUHUSU UISLAM NI UONGO MTUPU HUNA ULIJUALO NI VEMA UKAE KIMYA USIBISHANE NA USILOKUWA NA ELIMU NALO BROOOH.
NOTHING YOU KNOW SHUT THE ****.
NYIE MSUJUDIEN HUYO MZUNGU HAINIHUSU MM .
Na usifananishe uislam na huo ujinga wa hao kumsujudia mzungu maana huna ulijualo kuhusu dini yetu una UPUMBAVU tu kichwan.
Leta newsThe man was deported. What does that tell you?
Unarudia usenge ule ule.Wewe ndiye ukae kimya ukiona wengine wanaabudu wanachokitaka, ulikurupuka kuwacheka ilhali umevaa likanzu na wewe ukiabudu kituko mudi.
Very true. YalishatabiriwAHuyo mohammed unamjuaje? ulimuona? ni mweusi mwenzako au mwarabu, kama hamumuabudu mbona akitajwa huwa mnapata hamaki na kuanza kujilipua mabomu kwenye hayo makanzu yenu na mindevu.
Ukweli wa mambo ni kwamba haya yote ya dini ni mambo ambayo tumeletewa, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachokitaka, kunaye anaabudu ng'ombe, mwengine sanamu, mimi siabudu huyo mtu aliyetajwa kwenye huu uzi ila sina haki ya kuwahukumu hao waliomuabudu maana hata mimi ninayemuabudu ninafanya kwa imani na nipo radhi kukesha nikimtetea kuwa ndiye bora, maana wa kwangu alishatabiri haya mnayoyaona, maandiko yanasema kwamba ipo siku watakuja wengi, mtaitwa na kuambiwa yuko huku, yuko kule.
Wazungu na waarabu wasingekuja Afrika, wewe hapo usingepata dini wala utaifa, leo unajiita Mtanzania kisa mzungu alikuja akakuchorea mipaka. Hivyo huna jeuri ya kumcheka yeyote maana unaishi kulingana na misingi uliyoachiwa na mzungu na mwarabu.
Unarudia usenge ule ule.
Mimi NAMUABUDU ALLAH MUHAMMED NI MTUME SIMUABUDU YEYE NAMUABUDU ALLAH.
WAKENYA MNASHANGAZAAA.
YANI HUJUI UNABISHANA USIYOYAJUA.
POLE YAKO UKIONA NAKU QUOTE NIITE GAY MAANA NABISHANA NA MTU ASIYE HATA NA AKILI
Ndio unavyoamini?[emoji38][emoji38][emoji38]kwani yesu hakuwa mzungu?
Wewe kusema GDP ya Kenya ni ya makaratasi umeitolea wapi?
Au ni kwa macho yako binafsi?
Sijakuuliza unachana wako kwa vyama vya siasa,whether uwe CCM,CDM au ACT does not make sense to me!
Comment yako ya mwanzo umewaita Wakenya ni bure na fake!Hiyo si chuki ni nini?
Wewe kumpenda Magufuli ni haki yako,go ahead and be proud!
Mimi simpendi,na Im proud of that!
Wewe kusema chuki zangu na serikali ni huko huko unaonesha hujui demokrasia!
Naruhusiwa kuchukia serikali nitakavyo kama wewe unavyoruhusiwa kuipenda utakavyo!
Kusema huko huko na chuki kwa serikali ni stupidity.Ni kama na mimi niseme hukohuko na upenzi wako kwa serikali!
Mimi na chuki zangu nipo na wewe na upenzi wako upo pia!
Wewe unapenda mazuri ya Jiwe mimi nachukia mabaya yake!
Hivi sijui kwanini huwezi kuishi na mtu alietofautiana na wewe itikadi za mawazo?Hivi kwanini?
Ngoja nikupuuze na insha zako
Nilikuwa nikiwa-respect sana kenya hasa kwa kupiga hatua za maendeleo. Lakini mmeniangusha sana ktk hili. Kumbe ni maboya sana kihivyo. Yaani bado mmeng'ang'ania huyo karagabaho kwamba ni YESU,hilo tumpinkere? Mme-fail wapi?Yesu kashukia Kenya, Watz mmeshikwa na wivu kwanini hakushukia Dsm.!!![emoji1787]
Neno la waarabu kuwabaka waafrika na kuja kwa uislam Afrika haviendani.Mimi sikuiti gay wala kukutusi nakuambia ukweli, haijalishi unamuabudu alla au mudi, hao wote hujawaona na usingewjua kabla mwarabu hajaja kuwabaka waafrika, hivyo usiwaseme wenzako wakiwa kituko kama wewe.
UnapEnda kusema hivi ila ukiulizwa maswali huyajibu ipasavyo na wakati mwingine huwa unakimbia.Jeni
Discoveries ni kibaooo!
Achana na dini na Mungu na Shetani,ni uwongo wote hao hawapo!
Mnateseka tu bure masikini!
Neno la waarabu kuwabaka waafrika na kuja kwa uislam Afrika haviendani.
Hujui uislam umefikaje kaa kimya.
Na tusirumbane maana UNABISHANA usichokijua.
BYE HAVE A NICE DAY