MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Pole yako weeee nikikwambia kaka nyamaza muda mwingine ni kheyri mamdud kaanni kukaa kimya ili kuficha upumbavu still mbishi.
Msikilize Hillary Clinton.
Hayo makundi nani kayaanzisha ukilitoa Hizbollah maana Hizbollah sio magaidi.
Na ujilipuaji wao ni kwasababu gani.
Msikilize Hillary Clinton.
Then kamtafute Jamaa anaitwa Mr.Fuller ana kitabu kinaitwa "world without islam".
Ni officer wa CIA zaman huyo jamaa anakueleza "the today's conflicts are brought for geopolitical interest rather than religious reasons ".
Na kuna sehem anakwambia "Imperialists use religious means for the benefits of geopolitics from the meaning of terrorism "
Mkuu hii ndio shida ya kujifanya mjuaji then hamna ulijualo.
Ni kheri ukubali haujui utaonekana mjinga maana hakuna asiye mjinga kila mtu ana ujinga wa kile asichokijua.
Kulko kujifanya mjuaji ukaonekana mpumbavu kwasababu unalazimisha ujuaji ilhali haujui.
Mtakua wajinga sana kama mnajilipua mabomu mkitaja mudi na huyo allah halafu mnajitetea kwamba mzungu kawatuma. Mabwana zenu waarabu wanalipuana kijinga kisa dini na miafrika mnafuata.