Namna Wakenya wanavyoabudu Wazungu

K.....mamake walah! Wazungu na ukoloni ulituharibu akili!
Yaani hawa watani zetu! Na mbwembwe zao zote wameingizwa mkenge!
 

Umetoa maelezo mengi sana. Lkn bado mambo ambayo hujayaweka wazi.
Mosi, ni msingi wa maoni yako, kwamba nchi ya Tanzania ni gereza.

Pili, kama jamii inayokuzunguka ina ukubwa kiasi gani, hivi kwamba maoni yake yatumike kuwakilisha maoni ya wananchi wote, toka kusini mpaka kaskazini; mashariki mpaka magharibi ya nchi.

Nawasilisha.
Eli.
 

Kumbe wewe naanza kukufikiria kukuweka kwenye kundi la watu wa kupuuzwa kama mwasit.
 

Eliakeem

Msingi wa hoja yangu ni kua kwangu mimi binafsi na watu wangu wanaonizunguka ambao hawazidi 25 Tanzania ni gereza!

Nina haki ya kujiongelea mimi mwenyewe na hawa watu wangu maana nipo nao kila siku na tunajijua tunapata shida gani!

Siwezi kukuzungumzia wewe au mwingine yeyote!Wewe kwako nchi ni paradiso,which is very okay!

Mimi pamoja na wenzangu ni sample space ndogo sana ya wananchi wote 50mil!

Na wewe pia na wenzako kadhaa ni sample space ndogo sana tukifananisha na wanachi wote 50mil!

Hivyo mimi na wewe na yule wote hatuna uwezo wa kuzungumzia wananchi wote 50mil kwa lolote kuhusu hili!

Ishu ingekua tofauti kama kungekua na independent research done on this by a credible non-bias entity.

Au tukisema kwa pamoja mimi na wewe tuchukue furaha ya wananchi (Happyness Index) kama kigezo,basi takwimu za juzi zilizoiweka Tanzania mkiani kabisa tukubadiliane nazo?Au huziamini wala huzitaki?

Basi cha msingi tubakie na maoni yetu binafsi kibinafsi yetu!
 
Hahaha what an incorrigible guy!
I told you to provide the proof of God inexistence bado unatapatapa.
Mimi nasema kwamba Mungu yupo kwa sababu najua yupo. Je,wewe unasema hayupo kwa sababu gani?

Hapo mtakesha mpaka jua lingine lichomoze.
Watu wanaopinga uwepo wa Mungu, sikuzote wamekuwa wakijielekeza kukosoa na kupinga ithibati ya kuwa Mungu yupo. Badala ya kujielekeza kwenye uthibitisho wa kuwa Mungu hayupo.
Siku zote hawatoi uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Kibaya zaidi hawana usadikisho. Hivyo hawawezi kutoa.
 
KUMBE WE MJINGA EEEH???
HUJUI HALAFU UNALAZIMISHA MAMBO UNA AKILI KWELI WW???
SI NIMEKUPA MAELEZO PALE HAO WANAOJIUA HAWAHUSIANI NA UISLAM???
NIMEKUPA JINA LA KITABU KINAITWA "WORLD WITHOUT ISLAM" CHA MR.FULLER UKASOME KIKUTOE UJINGA ULIOMEZESHWA UNAKATAA UNASEMA HUSOMI INSHA.
SASA WW UNABISHANA NINI???
UMESOMA WW ???
UNAELEWA MAANA YA ELIMU NA UJINGA ???
YANI UNAPEWA KITU KIKUTOE UJINGA UNAKIPINGA UNALAZIMISHA UJINGA ULE ULE UNA AKILI TIMAMU WEWE????
SIWEZ KUENDELEA JU QUOTE MTU KAMA WW.
NILIDHANI WAKENYA NI WATU WA KULUMBANA KWA HOJA KUMBE HAWANA AKILI MTU ANALAZIMISHA UJINGA!!!!!!
EMBU ACHANA NA MM UKITAKA KASOME KITABU CHA MR.FULLER USIPOTAKA KAA NA UJINGA WAKO NA USINISUMBUE.
MAANA NILIDHAN UNA AKILI TIMAMU KUMBE MJINGA KABBISA.
MSOMI HURUMBANA KWA HOJA SIO KWA UTASHI USIOKUWA NA MANTIKI KAM UFANYAVYO WW.
 
Reactions: Oii

Aha haaa
A law of negation of the negation.
Siku zote binadamu lazima wapingane.
Nyie 26 ni tone la maji baharini. Hivyo opinion yako unayoitoa ni vyema ukasema kwa mujibu wa Sisi 26, ili kusudi watu wasije wakapotoshwa kwa kudhani ni nchi nzima, kumbe ni nyie 26.

Ile happiness index, niliwahi wahoji waandaaji mpaka Leo hii hawajawahi nijibu. Nilishangazwa Syria, Somalia, etc wawe happier than Tanzania. Pia nchi zingine ziko juu kwenye happiness, lkn life expectancy iko chini. Nili pose kama 7 questions. Walistakabadhi kupokea maswali na kusema watajibu, lkn kimya.
 
Lol.. Kweli kaka. Wyatt Mathewson is just confused. Mara atukane Mungu, mara aseme hayupo.
Wanasayansi wengi wamethibitisha kwamba Mungu yupo. Atheists, free thinkers agnostics ...wanaishujudu sayansi sana. Little do they know sayansi ni njia mojawapo Mungu hujiREVEAL kwa wanadamu
 

Wanasansi wengi sana. Ambao wametumia muda mwingi sana wa maisha yao kwenye tafiti wanastakabadhi kwamba kuna mmoja ambaye ana nguvu sana. Wakiona mpangilio wa nyota, space, galaxy, viumbe hai, wanapinga kabisa kwamba mambo hayo yametokea kwa nasibu au accidentally.
 
Hehehe umeamka, nipo tayari tukeshe tena ila sikuachi hadi pale utaheshimu uhuru wa wengine kuabudu, sio lazima wote wavae mikanzu na kulea ndevu, hayo ya kulazimisha kwa kukata watu vichwa ni ujinga uliokubuhu.
 

Nimejizungumzia mimi na wenzangu,sio wananchi wote kama wewe unavyojizungumzia!

Sisi 26 ni tone,na wewe pia na wenzako ni tone,hivyo wote hatuna mandate hapa!

Ila wewe unajitutumua mtazamo wako ndio sahihi na universal!

Kusema uliwauliza maswali halafu huyaweki hapa,tutajuaje ni uongo?

Ungeyaweka hapa ili na sisi tupime kwa akili zetu,huenda hata yalikua haya-make sense walao ku-warrant majibu toka kwao!

Pia huwezi bisha utafiti wao kienyeji tu!Unabisha kwa utafiti counter ya wao!

Huwezi kaa kwenye desk lako unapinga ni waongo huku huna utafiti pingishi!
 

Labda nianze hivi.
Mosi: Sijatoa maoni yangu kupinga maoni au opinion yako. Nilichosema na naendelea kusisitiza ni, Usiseme kuwa watanzania wako gerezani wakati hayo ni maoni ya nyie wachache 26. Toa maoni huku ukisema kwa mujibu wa Sisi 26.

Pili: sidhani kama kutoa maoni yangu au kupinga tafiti za wengine, lazima nipitishie hapa ili mnipime. Kiufupi najimudu as my level of know how is universally recognised and meets the requirements, this's why I'm a member of some of very senior and profound international professional bodies.
So to be gauged by JF ni uonevu teh teh. Ongea lingine.

I posed the challenge to them basing on the other research report from another organisation. It was about life expectancy and happiness. They acknowledge to receive the questions but no majibu up the moment.
 
Nakubaliana na wewe kabisa hapo braza.
shukrani mzee inatakiwa kila muafrika ajue mzizi wake duniani pata chimbika hapa afrika ndio asili yetu watu walichoma document zote na vitabu vyote kuhusu afrika ili watutawale maana hatujui uhalisia wetu hatujui sisi ni wakina nani hatuna hata wazo hilo tupo tuu
 
Nyie hamuabudu miungu za kizungu Bali mnamuabudu mzungu
 
Ingekuwa kwetu ungeongelea ata sehemu ya w.product kuu.mengine unafunika kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…