Namna wanavyokokotoa possesion (kumiliki mpira), nashauri waigawe ktk vipande vitatu ntatumia MAMELOD VS YANGA kama case study

Aisee.....

Nimeangalia passes....

Mamelod 567

Yanga 215

Imesikitisha Sana

Kusaidia hapo... Gamondi aende kusoma ku upgrade tena Ile leseni yake imepitwa na Wakati
twende taratibu pass 567 tu assume pass moja imepigwa kwa sekunde 8, itakuwa hivi 567 × 8 = 4536 yaani wametumia sekunde 4536 kupasiana, tuzibadiri ziwe dakika 4536 /60 = 75.6 yaani wametumia dakika 75.6 kupasiana ktk dakika 90 za mchezo bila kupata goli wala kufanya attempt ya maana. Sasa chukua 90 - 75.6 = 14.4 yanga kamiliki mpira kwa dakika 14.4 katika dakika 90 za mchezo. Haya tukokotoe possesion za mamelod 75.6/90 ×100 = 84% kwahiyo mamelod alikuwa na possesion ya 84%. Nb nmetumia takwimu ulizoweka wewe . Ko utaona point yangu ukitumia namba kufikiria
 
nyie Yanga mbumbukweli kwahio hizopasi walizokua wanapiga nyuma kwanini wale waviziaji wenu wasiende kutibua Ili mpira upigwe mbele?

walikua wanacheza nyuma Sababu michezaji yenu ilikua inaogopa kupanda mbele[emoji1787]
Hapa umeonyesha hujui kitu kwenye soccer, nibora ushangilie rede tu.
 
Makolo hawawezi kukuelewa,ila umeichambua vizuri.
Mechi ya marudiano Mamelody watafungua Yanga watabana,dakika za lala salama watajishtukia wamepigwa kimoko,Yanga anaingia 1/2 fainali.
Period!
 
Utopolo case study nyingine hiii hapa. Huku ndiko kutawala mchezo. .
 

Attachments

  • 1711889809955.png
    135.7 KB · Views: 1
Unapoteza muda kumuelewesha mtanzania..au mbumbumbu..
 
Tulishasema vichaka vyote vitafyekwa
 
Najua Sasa wamebakisha vichaka viwili vya nusu fainali na rank ya CAF

Tukiingia nusu fainali na wao wakaishia robo tayari inakuwa tushawapita kwa rank,

Tukiingia fainali,wanakuwa hawana kichaka tena

Aahaaaaa
Hahahahaha..na ndipo muhindi atakapo shtuka na kushtukiwa ..maana na yeye anatembelea vichaka hivyo hivyo
 
MASHABIKI WA SIMBA MNALIALIA MLISHASEMA LUPASO KWA MKAPA TUNAPGWA SITA HIVI HAMJIONEI AIBU TIMU YENU YA SIMBA MKIFUNGWA MNAMLAUMU MO MKISHINDA KIMYA NA SIKU AKICHOKA AKAAONDOKA MANENO YENU MTAONJA JOTO YA JIWE
 
Beki wa kulia wa Mamelodi alikua akipata mpira anasimama au anatembea tu taratibu. Na washambuliaji wa Yanga walikua wakimuangalia tu.

Hapo ni possession inasoma tu Kwa Mamelodi, sababu ndio wenye mpira. Mpira hauchezwi lakini possession inasoma Kwa Mamelodi sababu mpira uko miguuni Kwa beki wa Mamelodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…