lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
mjinga wee huna chàkunifundisha kwenye mpira.Hapa umeonyesha hujui kitu kwenye soccer, nibora ushangilie rede tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjinga wee huna chàkunifundisha kwenye mpira.Hapa umeonyesha hujui kitu kwenye soccer, nibora ushangilie rede tu.
upo sahihi mkuu ndicho nilichokiona nkashauri possesion ikokotolewe ktk maeneo matatu mwanzo wa uwanga kati kati na mwishoni then ndo zijumlishwe kuwe na total possesionBeki wa kulia wa Mamelodi alikua akipata mpira anasimama au anatembea tu taratibu. Na washambuliaji wa Yanga walikua wakimuangalia tu.
Hapo ni possession inasoma tu Kwa Mamelodi, sababu ndio wenye mpira. Mpira hauchezwi lakini possession inasoma Kwa Mamelodi sababu mpira uko miguuni Kwa beki wa Mamelodi.
Hizi takwimu hazijakalimika bila matokeoUtopolo case study nyingine hiii hapa. Huku ndiko kutawala mchezo. .
Hapo kwenye desh uliandikaje? Au uliandika kkuma!mkuu kwani hujui **** leo sikukuu watu tumeshiba pilau tunasherekea! Wewe komaa na kazi yako ya boda boda utapata wateja wengi leo hasa hasa watoto na wanawake
Unawadanganya sana watu humutwende taratibu pass 567 tu assume pass moja imepigwa kwa sekunde 8, itakuwa hivi 567 × 8 = 4536 yaani wametumia sekunde 4536 kupasiana, tuzibadiri ziwe dakika 4536 /60 = 75.6 yaani wametumia dakika 75.6 kupasiana ktk dakika 90 za mchezo bila kupata goli wala kufanya attempt ya maana. Sasa chukua 90 - 75.6 = 14.4 yanga kamiliki mpira kwa dakika 14.4 katika dakika 90 za mchezo. Haya tukokotoe possesion za mamelod 75.6/90 ×100 = 84% kwahiyo mamelod alikuwa na possesion ya 84%. Nb nmetumia takwimu ulizoweka wewe . Ko utaona point yangu ukitumia namba kufikiria
hiyo ni pass accuracy mkuu acha kupotoshaUnawadanganya sana watu humu
Possession haitafutwi hivo
Acha uongo
Possession inatafutwa kwa kanuni ya
Pass ulizopiga unagawa kwa total pass za timu zote mbili unazidisha kwa 100% ,simple tu
Mamelod walicheza mtindo wa kumkamata kuku wa kitoweo bila mikikimikiki unamtupia mahindi mbali unaanza kumsogeza hadi ndani na kumkamata kirahisi, yaani walikuwa wanataka yanga wasogee wengi kuufwata mpira ili wacheze mchezo wa kushitukiza Huo umiliki wa Mpira haukuwa na Tija yanga waliwatumia wachezaji wachache wenye mapafu ya mbwa kuufwata Hui MoiraMamelod 69% YANGA 31%..... Je umewahi kujiuliza hizi possesion hupatikanaje? Ipo hivi kinacho angaliwa ni muda wa kumiliki mpira kwa timu husika ndani ya dakika flani mfano dakika 30, 45 au 90. kinachofanyika unaanza kuhesabu sekunde timu ikiwa na mpira mfano MAMELOD kipa wiliams kampasia mudau, mudau kampasia kekana, kekana kampasia kipa wiliams, wiliams kampasia tena mudau, mudau kapiga pasi mbele inazuiwa na mpira unachukuliwa na mudathir wa YANGA, unahesabu sekunde walizo kaa na mpira mguuni mamelodi yaani ktk kupasiana mfano ndani ya dakika 45 wamekaa na mpira dakika 40. Unachukua 40/45 × 100 = 88.9% kwahiyo kipindi cha kwanza mamelod ubao utasoma possesion ya 88.9% yanga 11.1%. . Hapo haijalishi mamelod amemiliki mpira akiwa kwenye boksi lake katikati au kwenye kumi na nane za yanga ubao utasoma hivyo hivyo 88.9% haijalishi wiliams katumia muda gani kupasiana na mabeki wake huku mpira ukiwa haufiki kwenye lango la mpinzani (YANGA). INAENDELEA
Hebu pata pizza hapo hela nimetuma posta[emoji38][emoji38][emoji120]Vichaka vya kujificha Simba vinafyekwa vyote. Ooohh Yanga wamefika fainali kombe la shirikisho waje huku kwenye club bingwa. Oohh Yanga hawezi kuingia makundi ya champions league, mara Yanga akaingia tena kwa kishindo. Oohh Yanga wataishia makundi hawawezi kuingia robo fainali, Yanga wakatinga robo kabla ya Simba tena wakiwa na mchezo mmoja mkononi. Ikaja draw ya robo, oohhh Yanga kwisha habari wamepangwa na Mamelodi. Kabla ya mechi ya jana, wakasema maneno yote kwamba mechi ya Yanga vs Mamelodi itaishia kwa Mkapa tena kwa Yanga kufungwa magoli mengi. Sasa baada ya mechi ya jana, wameanza kupiga ramli za mechi ya Pretoria. Hawa hawataishiwa maneno hadi siku Yanga atakapokua juu ya Simba kwenye CAF ranking, kwa sababu ndiyo kichaka pekee kilichobaki kufyekwa, ambacho hakina muda mrefu.
Shoot=ShotsShoot on taggets zilikua ngapi kwa ngapi?
Braza Shalulile yule jamaa uwezo wake uko wazi ana speed na energy ya kutosha plus creativity naomba tuheshimu kazi kubwa mno iliyofanywa na plan ya kocha na wachezajiUmeeleza vyema, na huyu shalulile sijui kwann wanamuamini kiac kile mana Jana sikuona uwezo wake BINAFSI, nlichoona tu ni uongouongo mwingi .