Namna wanavyokokotoa possesion (kumiliki mpira), nashauri waigawe ktk vipande vitatu ntatumia MAMELOD VS YANGA kama case study

upo sahihi mkuu ndicho nilichokiona nkashauri possesion ikokotolewe ktk maeneo matatu mwanzo wa uwanga kati kati na mwishoni then ndo zijumlishwe kuwe na total possesion
 
Kuna mechi Barcelona vs Getafe, possession ni 80 kwa 20 Barcelona walishambulia mda wote ila makosa mawili walipigwa na Getafe counter 2 mechi ikaisha 1-2 barca kauliwa,

Sasa nye mnaojisifu kwamba mmecheza kimbinu na hamjafunga mtu mko sawa kweli?
 
Unawadanganya sana watu humu

Possession haitafutwi hivo


Acha uongo


Possession inatafutwa kwa kanuni ya

Pass ulizopiga unagawa kwa total pass za timu zote mbili unazidisha kwa 100% ,simple tu
 
Unawadanganya sana watu humu

Possession haitafutwi hivo


Acha uongo


Possession inatafutwa kwa kanuni ya

Pass ulizopiga unagawa kwa total pass za timu zote mbili unazidisha kwa 100% ,simple tu
hiyo ni pass accuracy mkuu acha kupotosha
 
Mamelod walicheza mtindo wa kumkamata kuku wa kitoweo bila mikikimikiki unamtupia mahindi mbali unaanza kumsogeza hadi ndani na kumkamata kirahisi, yaani walikuwa wanataka yanga wasogee wengi kuufwata mpira ili wacheze mchezo wa kushitukiza Huo umiliki wa Mpira haukuwa na Tija yanga waliwatumia wachezaji wachache wenye mapafu ya mbwa kuufwata Hui Moira
 
Hebu pata pizza hapo hela nimetuma posta[emoji38][emoji38][emoji120]
 
Umeeleza vyema, na huyu shalulile sijui kwann wanamuamini kiac kile mana Jana sikuona uwezo wake BINAFSI, nlichoona tu ni uongouongo mwingi .
Braza Shalulile yule jamaa uwezo wake uko wazi ana speed na energy ya kutosha plus creativity naomba tuheshimu kazi kubwa mno iliyofanywa na plan ya kocha na wachezaji
Je unaweza amini Max kwenye hii mechi ndie alikuwa beki 2 na Job akaingia ndani kwa pamoja na baka wakampini jamaa dk ya kwanza hadi alipotoka!?
Mkude na muda Ile ndio double pivot Sasa Mokoena akajikuta hajui apige wapi mpira.kazi kubwa sna ilifanywa
 
Mnatafuta vichaka tu vya kujificha timu lenu uto ni bovu. Hata kama timu inapiga back pass ila ukikutana na timu ya maana itakupress mpaka hizo back pass utaziona chungu na hautazipiga kwa uwingi huo. Kwa hiyo ni udhaifu wa uto kuruhusu mpinzani awe na mpira muda mwingi bila kujali yuko eneo lake. Uto ilicheza kiunderdog.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…