JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kama Hadi Satan amesema mi ni nani?Huyo binri wa 2003 si ni sawa na mwanao? Kwanini unaharibu mtoto wa mwenzio? We mwanao akifanyiwa hivi utafurahi?
Hakuna cha utamu wala nini ni kujiendekeza tu. Kwanini usitafute level yako ukaoa mkuu. Umasikini mwingine mnautengeneza ninyi wenyewe halafu badae mnakuja kulaumu serikali.