The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kitoto cha fesibuku naona umekaza ubongo kutetea ujinga wako eeh! kumbe wewe ni domo zege kwa mademu tu ila kwenye kutetea ujinga wako sio domo zege?!Wewe acha ufala, uandishi has nothing to do with kumtongoza demu. Wewe umepewa uchi na mademu wangapi kwa uandishi wako?
Correction: 'ili' sio 'hili'
Wacongoman wapo sana kigoma ni rahisi sana hao watu...Kifaransa angalau ila iyo lingala bado sana, ila tatizo lingine wenye sura mbaya ni wengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapiga nyeto?Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Mkuu sidhani kama upo sawa
Kitoto cha fesibuku naona umekaza ubongo kutetea ujinga wako eeh! kumbe wewe ni domo zege kwa mademu tu ila kwenye kutetea ujinga wako sio domo zege?!
Hapo kwenye red,sio 'ili' ni 'hili' acha ubishi wa kiha, huwezi kusema "Msaada wa kumaliza ili janga" utasema "Msaada wa kumaliza hili janga, hutaki kusahihishwa unaweza kuendelea kufuga ujinga hujakatazwa.
Tafuta ela na zitunze ziwe nyingi ili uziite hela.Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Licha ya udomo zege, unakabiliwa na mwandiko zege.Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Asante kwa ushauri mkuuMkuu jenga uwezo wa kujiamini,utafanikiwa kwa lolote ulitakalo acha kutetemeka tetemeka.
Sent using Jamii Forums mobile app