The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kitoto cha fesibuku naona umekaza ubongo kutetea ujinga wako eeh! kumbe wewe ni domo zege kwa mademu tu ila kwenye kutetea ujinga wako sio domo zege?!Wewe acha ufala, uandishi has nothing to do with kumtongoza demu. Wewe umepewa uchi na mademu wangapi kwa uandishi wako?
Correction: 'ili' sio 'hili'
Hapo kwenye red,sio 'ili' ni 'hili' acha ubishi wa kiha, huwezi kusema "Msaada wa kumaliza ili janga" utasema "Msaada wa kumaliza hili janga, hutaki kusahihishwa unaweza kuendelea kufuga ujinga hujakatazwa.