Namna ya kuacha u domo zege

Namna ya kuacha u domo zege

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mobutu jinga sana wewe hukubali kushindwa
Hahaha [emoji23]
Kumb unanielewa,sikubali kushindwa.ni kitu nimejifunza kutoka kwa mobutu sese seko
Aliwahi kusema "unapokua mwanajeshi ni vitu viwili,uuliwe au ujisalimishe ila hupaswi kukimbia"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kariakoo, utakuta watoto wazuri kibao anza kuzungumza na wawili kwa siku hata salamu, tu stori mbili tatu jizoeze kuongeza idadi utajikuta una improve siku had siku mwishoni utajikuta ukimtaka manzi haumkosi aisee
Kuna jamaa tulimshauri hivi akapata jini mahaba lake mpaka leo linamsumbua mbaya
Haya mambo ya kutongoza tongoza mbaya sana
 
Back
Top Bottom