Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Kwanini unataka uache nyeto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mbinu haifanyikazi kwa waraibuNi rahisi sana, Fanya kazi masaa 14-16 Kwa siku walau Kwa wiki Tatu mfululizo, Monday - Saturday - pumzika siku moja tu… pesa utakazo pata ziwekee malengo mfano- mtaji wa biashara, ujenzi, ununuzi wa Vifaa vya kilimo etc…
Achana kuwazia papuchi Kila Wakati, Waza zaidi malengo yako.
Uchovu wa kazi wa siku sita Kwa wiki utakuondoa huko kwenye kinyama ugomvi.
Ukianza kutoboa kwenye malengo yako itakuwa motivation ya kutosha kuachana na kuchungulia magaguro Yao na maumbile Yao …
Hataki kuchukua sheria mkononKwanini unataka uache nyeto?
Aache ujinga ana degree ya miaka 6, aliona wapi watu wanarudisha degree chuoni?Hataki kuchukua sheria mkonon
Kwa maisha ya sasa mkomboz mkuu wa vijana ni chaputaAache ujinga ana degree ya miaka 6, aliona wapi watu wanarudisha degree chuoni?
Hahahahh hakuna wa kukusukuma kuacha chaputa zaidi ya kujikana mwenyewe, kuomba ushauri na kuweka malengo ya kuacha jf ujue bado sanaKwa maisha ya sasa mkomboz mkuu wa vijana ni chaputa
Mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa kiwango fulani kupitia hii njia. Nilifanikiwa kufikisha miezi miwili bila kufanya ngono wala kufanya masturbation. Kuna siku zilikua ngum sana kuzitoboa, yani kazi haziendi akili inawaza ngono tu. Unakuta hadi naanza kuangalia wadada barabarani , kwenye daladala nikiguswa tu na mdada chuma tayali. Nikaamua kujitosa kwenye mahusiano na msichana yeyote mana kuvumilia mpaka kupata wa maisha ilishakua mtihani. Uko napo nikaishia kupata UTI na GH kwa mara ya kwanza, sitazisahau izo siku 6 zakujiuguza.Ni rahisi sana, Fanya kazi masaa 14-16 Kwa siku walau Kwa wiki Tatu mfululizo, Monday - Saturday - pumzika siku moja tu… pesa utakazo pata ziwekee malengo mfano- mtaji wa biashara, ujenzi, ununuzi wa Vifaa vya kilimo etc…
Achana kuwazia papuchi Kila Wakati, Waza zaidi malengo yako.
Uchovu wa kazi wa siku sita Kwa wiki utakuondoa huko kwenye kinyama ugomvi.
Ukianza kutoboa kwenye malengo yako itakuwa motivation ya kutosha kuachana na kuchungulia magaguro Yao na maumbile Yao …
Mkuu sijui namna ya kutag ila nimeweka ushuhudaNa mimi nimeipenda comment ya kamanda hapo juu. Suala lako ni suala mtambuka na ni suala linalowaathiri watu wengi sana waume kwa wanawake, mabinti kwa vijana sema tu tulio wengi hatuko tayari kutamka. Kwa hiyo comment nyingi zimelenga kukushambulia kama kawaida yetu tunattak person na personality badala ya hoja.
Suala la kuokoka halijawahi kufanyiwa researches na halina uhakika , ni very subjective, ndio maana sioni kama ni solution bora, ila hoja ya Kamanda hii imeshanyiwa researches nyingi na zimeonyesha positive results, ingawa si 100% lakini matokeo ni mazuri by averages. Tunawaliohokoka wengi ila ukichunguza matendo yao yanazidi sisi wakatumeni. Wengine ni ndugu zangu na walikuwa wakitunyooshea vidole ila baadae wakatenda vitu mpaka sisi tunaogopa.ila hili suala la kuokoka tuliache kwani limekaa kiimani zaidi, turudi kwenye sayansi. Tunaomba utupe mrejesho baada ya kutekeleza.
Hii comment imenifanya niweke ngao chini alafu nikajibutua naviwil vitatu, ila hamna noma nitaanza tena milestone tayari ninaexperrienceHuwezi kuacha unyetukalization hata iweje lazima utarudia tu hiyo shughuli sababu umeifuzu kwa miaka 6.
Kuhusu kuoa hata ukioa ukishazoea tu mkeo then lazima utanyetuka. Wanaume wengi ndani ya ndoa kwasasa wanastruggle na nyeto kwasababu ni kitu wamekifanya kipindi cha nyuma na ilikuwa ni easy fix au escape ya kupata utulivu wa kimwili na kiakili.
Asante kwa ushuda, pongezi Kwa Kwa Kiwanja, mdogo mdogo utatoboa tu …Mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa kiwango fulani kupitia hii njia. Nilifanikiwa kufikisha miezi miwili bila kufanya ngono wala kufanya masturbation. Kuna siku zilikua ngum sana kuzitoboa, yani kazi haziendi akili inawaza ngono tu. Unakuta hadi naanza kuangalia wadada barabarani , kwenye daladala nikiguswa tu na mdada chuma tayali. Nikaamua kujitosa kwenye mahusiano na msichana yeyote mana kuvumilia mpaka kupata wa maisha ilishakua mtihani. Uko napo nikaishia kupata UTI na GH kwa mara ya kwanza, sitazisahau izo siku 6 zakujiuguza.
Pia kwenye icho kipindi nilifuta social media zote na nilijikuta hata sim sina mpango nayo. Kuhusu kutimiza malengo tayali nina kiwanja nataka mwakani nianze kujenga mdogomdogo. kiufupi mkuu nashukuru sana bila kufata uo ushauri sidhan kama ningepiga hatua yoyote.