Namna ya kuachana na tabia za ngono zisizofaa: Maturbation & Ngono za kulipia

Mtoa mada usitudanganye CHAPUTA huwezi acha kirahisi hvo kuna mtu anaabove 62Years anafamilia na watoto wakubwa lakin hajaacha CHAPUTA.CHAPUTA ni ndoa kama ndoa zingine sema haina waalikwa ndo maana namna nyingine ni selfservice....njia kuu ya kuicha fanya kazi ngumu...mazoezi magumu na kujikeep busy mda mwingi apo utafanikiwa kumuacha hyo bimkubwa CHAPUTA a.k.a Left hand side.
 
Hii mbinu haifanyikazi kwa waraibu
 
Nina mwaka sijachukua sheria mkononi mpka sasa najiambia nimeacha namuomba Mungu aendelee kunisahaulisha ile habit si nzuri kwa afya ya akili
 
Maisha ya sasa kua na dem ni kufa kwa presha,sasa chama chetu cha chaputa unamla Rihanna buree sasa unaachaje? Sena tuu too much is hamful
 
Mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa kiwango fulani kupitia hii njia. Nilifanikiwa kufikisha miezi miwili bila kufanya ngono wala kufanya masturbation. Kuna siku zilikua ngum sana kuzitoboa, yani kazi haziendi akili inawaza ngono tu. Unakuta hadi naanza kuangalia wadada barabarani , kwenye daladala nikiguswa tu na mdada chuma tayali. Nikaamua kujitosa kwenye mahusiano na msichana yeyote mana kuvumilia mpaka kupata wa maisha ilishakua mtihani. Uko napo nikaishia kupata UTI na GH kwa mara ya kwanza, sitazisahau izo siku 6 zakujiuguza.
Pia kwenye icho kipindi nilifuta social media zote na nilijikuta hata sim sina mpango nayo. Kuhusu kutimiza malengo tayali nina kiwanja nataka mwakani nianze kujenga mdogomdogo. kiufupi mkuu nashukuru sana bila kufata uo ushauri sidhan kama ningepiga hatua yoyote.
 
Mkuu sijui namna ya kutag ila nimeweka ushuhuda
 
Hii comment imenifanya niweke ngao chini alafu nikajibutua naviwil vitatu, ila hamna noma nitaanza tena milestone tayari ninaexperrience
 
Asante kwa ushuda, pongezi Kwa Kwa Kiwanja, mdogo mdogo utatoboa tu …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…