Sorry mkuu,saloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu
Ubarikiwesaloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu watakadiria,
NOTE:voda wamesitisha usajil wa till mpya.
chakufanya.
unanunua till ya mtu then unaenda nae vodashop ili kubadilishiwa usajil akiwa na nakala zote.
wale wahudum wa voda watakuomba hela kidogo ya soda
ndio kiongoz,ila usiwambie barber shopSorry mkuu,
So nkiwa na 50,000 tu napata leseni, na ntawaambia ni kwa ajiri ya biashara labda ya saloon au ufundi simu then ntaipeleka tigoshop ili nipate till ya uwakala
Nicheki wasap 0738969626Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Biashara inaendaje mkuu na cammision imesimamajeNashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Hawa Jamaa Ndo Nina shida nao, nipo na Laini zote kasoro hawa Tu.sasahivi voda wamesitisha usajili wa till za mpesa
Mkuu mimi nataka nianze please naomba msaada wako jinsi ya kupata laini ya voda, tigo,na halotel [emoji122]Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Habari mkuu..Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
naomba maelekezo bossNashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
yaaap ni kweli kbsa aseeeeHabari mkuu..
Ni vyema ungeweka utaratibu wote uliopotia hadi umekuwa wakala ili kupunguza maswali mengi kwa wadau
Kupata laini ya halopesa. Sajili laini ya halotel na uiwekee halopesa sh 100,000. Nitumie namba yake na Picha ya TIN, Picha Ya Kitambulisho(Cha kura, leseni, au Cha Taifa) na leseni ya biashara kama Ipo. Whatsapp 0624787850 inakamilika ndani ya saa 24Nawezaje kupata hiyo laini ya halopesa
Dirisha limeshafunguliwa Voda,line za mpesa zinapatikanasaloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu watakadiria,
NOTE:voda wamesitisha usajil wa till mpya.
chakufanya.
unanunua till ya mtu then unaenda nae vodashop ili kubadilishiwa usajil akiwa na nakala zote.
wale wahudum wa voda watakuomba hela kidogo ya soda
Shamahan batsman kuanzisha biashara ya uwakala wa airtel money ila sijui nianzie wapiNashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Soma comment #2 utapata jibu lililotosheaShamahan batsman kuanzisha biashara ya uwakala wa airtel money ila sijui nianzie wapi