Namna ya kuanza biashara ya uwakala wa mitandao ya simu

saloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu
Sorry mkuu,

So nkiwa na 50,000 tu napata leseni, na ntawaambia ni kwa ajiri ya biashara labda ya saloon au ufundi simu then ntaipeleka tigoshop ili nipate till ya uwakala
 
saloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu watakadiria,

NOTE:voda wamesitisha usajil wa till mpya.

chakufanya.
unanunua till ya mtu then unaenda nae vodashop ili kubadilishiwa usajil akiwa na nakala zote.

wale wahudum wa voda watakuomba hela kidogo ya soda
Ubarikiwe
 
Leseni ya uwakala elfu 80 imeandikwa kabisa electroniki money transfer yan iyo hata ukitaka na simbanking poa tu
 
Sorry mkuu,

So nkiwa na 50,000 tu napata leseni, na ntawaambia ni kwa ajiri ya biashara labda ya saloon au ufundi simu then ntaipeleka tigoshop ili nipate till ya uwakala
ndio kiongoz,ila usiwambie barber shop
 
Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Nicheki wasap 0738969626
Logo_Maker_com.ist.logomaker_Fri_Aug_12_11_29_06_GMT_03_00_2022_1660292946011.jpg
 
Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Biashara inaendaje mkuu na cammision imesimamaje
 
Kuhusu mwenendo wa biashara na kamisheni bado sijafanya kwa muda mrefu ila naona zipo vizuri, sijui kama nimekujibu ulivyotaka
 
Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Mkuu mimi nataka nianze please naomba msaada wako jinsi ya kupata laini ya voda, tigo,na halotel [emoji122]
 
Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Habari mkuu..
Ni vyema ungeweka utaratibu wote uliopotia hadi umekuwa wakala ili kupunguza maswali mengi kwa wadau
 
Nawezaje kupata hiyo laini ya halopesa
Kupata laini ya halopesa. Sajili laini ya halotel na uiwekee halopesa sh 100,000. Nitumie namba yake na Picha ya TIN, Picha Ya Kitambulisho(Cha kura, leseni, au Cha Taifa) na leseni ya biashara kama Ipo. Whatsapp 0624787850 inakamilika ndani ya saa 24
 
saloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu watakadiria,

NOTE:voda wamesitisha usajil wa till mpya.

chakufanya.
unanunua till ya mtu then unaenda nae vodashop ili kubadilishiwa usajil akiwa na nakala zote.

wale wahudum wa voda watakuomba hela kidogo ya soda
Dirisha limeshafunguliwa Voda,line za mpesa zinapatikana
 
Nashukuru kwa wote mlioshiriki uzi huu, kwa sasa nimeshakuwa wakala kwa utaratibu rahisi sana. Kama kuna mtu anataka ushauri na muongozo anitafute nitafurahi kumuelekeza.
Shamahan batsman kuanzisha biashara ya uwakala wa airtel money ila sijui nianzie wapi
 
Back
Top Bottom