proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Ulimwengu wa sasa starehe kubwa ni kujamiana, kwani huwa na faida zifuatazo;
Kupunguza msongo wa mawazo kwa muda mfupi.
Kulinda upendo kama mnapendana kweli na sio kwa wapita njia au mmoja anataka kufaidika.
Licha ya starehe, sehemu kubwa ya kujamiana ni kuongeza vizazi duniani. Na hili ndilo lengo kuu kwani wazazi wasingejamiana tusingezaliwa. (Love for Procreation).
Uraibu wa ngono hukufanya kupoteza nguvu nyingi na kuwa mdhaifu (love for lust i.e blood and flesh). Ukikutana na mtu wa namna hii yaani akipata chochote anakithaminisha kwenye ngono haijalishi kina thamani gani. Ukitaka kumtembelea mtu wa namna hii siku akiwa na mwanamke hukasirika. Kama ni rafiki yako anakuchukia sana.
Turudi kwenye mada namna kubadili nguvu za kujamiana katika uzalishaji.
Chukulia ngono kama kitu cha kawaida yaani usiteswe na mapenzi. Mwanamke asitumie uchi wake kama faida. Fikiri kitu unachofaidi kwa mwanamke zaidi ya tendo ni nini? (Sex is an illusion don't simp).
Ukikaa hata wiki bila kufanya ngono mwili kuna namna hubadilika na kuwa nguvu. Hii hutokana kichochoche cha testosterone kuongezeka.
Fanya tafakuri (meditation) ukihisi nyege. Kaa sehemu iliyotulia washa mziki laini hasa tune (mdundo) tu. Kawaida nyege hushika watu zaidi wakiwa peke yao au wapenzi wao. Fanya uchunguzi.
Elekeza nguvu hizo kwenye vitu unavyovipenda (focus). Soma vitabu, jifunze youtube, fanya biashara, ongeza kipaji chako n.k.
Fanya mazoezi. Mazoezi huupa mwili nguvu. Fanya hata ya dakika kumi. Ili kuzuia usimwage mbegu za uzazi hata kwenye usingizi (nocturnal emission/ wet dream) fanya zoezi la (pelvic floor exercise...hata kwa wale wanaomwaga mapema ni faida kwao ni tiba kabisa).
kula vizuri pata usingizi wa kutosha.
Acha kutazama video na picha za utupu. Porn videos and picture
Kumbuka sijakunyima ufanye mapenzi bali kuna faida kulinda mbegu zako za kiume.
Huupa mwili nguvu kubwa, hupati uvivu wa kizembezembe. Mwanaume hawezi kuwa legelege. Kwani manii zina madini mengi sana.
Hujenga uwezo mkubwa wa kufikiri. Ndio maana vijana wadogo ambao hawajaanza ngono hukumbuka kirahisi zaidi. Fikiri ulivyokuwa sekondari na ulivyoenda chuo.
Hujenga mvuto wa asili kwa mwanaume, wanawake wanavutwa wao bila kujua. Manii huwa na nguvu sana, mwili hujengeka na ngozi kuwa na afya.
Je una uwezo wa kukaa mda bila kufanya mapenzi? tupeane uzoefu.