Namna ya kubadili nguvu za kujamiiana kuwa katika uzalishaji (sexual energy transmutation according to Napolion Hills)

Namna ya kubadili nguvu za kujamiiana kuwa katika uzalishaji (sexual energy transmutation according to Napolion Hills)

Angalia vijana msijichanganye- kila kitu kina umuhimu wake na kila kitu kwa kiasi.
Ngono ipo, itakuwepo na lazima watu wafanye na hatuwezi kuwa sawa..kama ambavyo hatuko sawa kwenye kila kitu.Wenye hamu kubwa, mazingira yanaruhusu na wao wanaridhika - wafanye tu.
Ambao nguvu ziko chini labda sababu ya maisha, kisaikolojia n.k.wajitahidi, walioamua ku-abstain..sawa tu...Walioacha kwa ajili ya ufalme wa Mungu - matowashi sawa tu.
But msijidanganye na hizo nadharia - tuishi- tusiikane hii miili kwa kutaka PERFECTION ambazo hazipo.
 
Back
Top Bottom